Naombeni ushauri nipo njia panda

Ila hiyo kauli duh, (eti ukienda kwenu usirudi) kweli kuna mapenz hapo? Mbona ni jambo linalomalizika kistaarabu kama kweli anakupenda na sio kukupa vitisho, pole ndugu yangu mana huyo mume mmh. Na kingine mahari sio ndoa siku yoyote akiamua anaweza dai arudishiwe ili kila mtu aendelee na maisha yake, au anaweza kuamua kuisamehe tu na akaoa mwingine
 
Kutokana na Jibu namba 2 na namba 4 naomba nkwambie itoe ndoa kama priority yako kwa sasa ila endlea kuish na mwenza wako huku una focus kutengeneza kipato chako mwenyewe wether kuajiriwa au biashara kwa maana kwamba, right now hata ukirud kwenu hakuna ambae anaweza kuwa msaada kwako and yet utamtegmea mwenza wako kwa matunzo ya mtoto.
Pia Boreshen mahusiano yenu na wazaz wa pande zote mbili kwa maana mngekua mnaelewana vzur hili swala la ndoa ni dogo sana halihtaji kupigishana mikwara kama hyo.
 
ndipulihe mwagito lakini shida inakuja hawakuwa wazinsiku wanavyotoa mahari. Isendi zao zipo kama unavyojua wabena wakipokea mahari hawatumii mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo Ni Nini????nendeni kanisani km wakristo mtafuteni mchungaji mmalize mambo ht nusu saa haiishi km ni waislamu ndo hamna longo longo kabisaaaaaa shehe namashahidi kadhaa.....
Mali imetolewa unahitaji baraka za Mungu tu sio sherehe....lakini hujasema msimamo wa mumeo maana yeye ndo mtu wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Hiyo ndio maana halisi ya maisha,ni kukutana na changamoto mwanzo mwisho! ,,,. ushauri wangu ni huu, usome kwa makini kabisa, nyumbani kwenu ulifuatwa, na ukachukuliwa kwa makubaliano, hata sasa usiondoke ukweni mpaka wazazi wako watakapo kufuata hapo na kuja kuongea na mama mkwe wako , waambie wazazi wako wakufuate ,,,,. bila hivyo utaonekana jeuri, na haufai kuwa mke, kitendo cha kupokea mahali wazazi wako, tayari walibariki wewe kuolewa kilichobaki ni sherehe tu, , usiondoke mpaka wazazi wako wakufuate, waje waonge na wakwe zako.
 
ndipulihe mwagito lakini shida inakuja hawakuwa wazinsiku wanavyotoa mahari. Isendi zao zipo kama unavyojua wabena wakipokea mahari hawatumii mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari Umeshazaa na Una mtoto . afadhali ungekuwa hujazaa. pia umri wako umeshaenda Tayari 25 ni umru mkubwa kuishi nyumba kuna kero nyingi pia endapo utaachana na mpenzi wako process ya kutafuta mwingine ni ngumu. Pia umemaliza Chuo hujaajiriwa fikiria jinsi malezi ya mtoto yatakavyokuwa ukirudi home, Je wazazi wako watakupa huduma zakwako na za mtoto. Angalia negative na positive effect zitakazotokea.najua wazee wetu ni wagumu kuelewa ila Waeleze wazazi wako full situation na kwamba mumeo Hana hela Kwa sasa. Ndoa mnaweza mkabariki hata baada ya Miaka 10. Maisha ni magumu. Situation hiyo wazazi wako wanayoanza kuonesha sio nzuri Kwa future ya ndoa yenu. Pia kama ni wagumu kuelewa mshauri mmeo kama itawezekena barikini ndoa bila sherehe yeyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikilize mumeo mama yako tupa kule, kwani anataka kuolewa yeye?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishamshauri tubariki bila sherehe ili tuwaridhishe wazazi wa pande zote lakini alikataa anataka sherehe kubwa wakati kwa sasa hali sio nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo busara za pande za wazee zinahitajika, ongea na mkubwa upande huu na mkubwa mwengine upande ule waeleze uhalisia ikiwezekana pande hizo mbili ambazo mnaziunganisha wakubaliane sioni kama ni mgogoro. tena kuwa makini na kukuza mambo madogo mno hayo yanazungumzika ila si kwako we fikisha ujumbe kwa wakubwa wa kwako waongee na wenzo.all the best kwenye ndoa
 
asante sana kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri bora kabisa. Kama asipofuata hya basi atakua zwazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio mnasababisha single mother wanaongezeka. .............mshauri arudi I'll abaki single mother. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na mahusiano ya ki.seng.e hayo !hujaolewa hali ndio hiyo ukiolewa itakuwaje na kwa nn mnakaa ukweni ?huyo mjamaa wako inaonesha anaendeshwa na mama yake hadi katika mahusiano a mamma boy!
Achana nae njoo kwangu sina mashart ya ki cho.ko kwenye mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…