Miezi 6 imepita sasa ila nashukuru kwa uamuzi niliochukua aisee kuna familia nyingine sizo kabisa. Mtu unaingia chaka kabisa.
Utabaki kuwa single mother maisha yako yote!!!! Kukosa akili ndio kumekupotezaMiezi 6 imepita sasa ila nashukuru kwa uamuzi niliochukua aisee kuna familia nyingine sizo kabisa. Mtu unaingia chaka kabisa.
Heshima ni kwa mume wako otherwise usiolewe kabsa! Single mother.....Naona labda mnashindwa kuelewa sirudi nyumbani sababu ya harusi...
1. niliambiwa niende nikajifungue kwa mamamkwe na nimejifungua na walitumia neno "tunamuazima"
2. Baada ya kujifungua hawakutoa update yoyote ya maendeleo ya mtoto wala mama waliyemwazima wakakaa kimya
3. Hawajatoa taarifa kwa wazazi wenza kwamba baada ya kujifungua basi anabaki hapa hapa.(refer kauli yao tunamuazima ili ajifungue).
Kiustaarabu walitakiwa kufanya yote hayo ila la kushangaza toka wametoa mahari hata mawasiliano tuu na wazazi wenza hakuna. Wazazi wenzao pia wanahitaji heshima yao na kupewa taarifa ya kinachoendelea na sio kuwafanyia dharau kama hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nimekuwa single mother kwa heri. Na kama usingle mother ni dhambi basi sina shida kuwa mdhambi. Bora nilivyoondoka kwenda kwetu kuliko ningeondoka baada ya kuletewa magonjwa ndani nikiwa na mtoto mdogo. Kaka /dada yangu dunia ina mengi sana ni kumshuru Mungu kwa kila jambo.Utabaki kuwa single mother maisha yako yote!!!! Kukosa akili ndio kumekupoteza
Heshima ni kwa mume wako otherwise usiolewe kabsa! Single mother.....
Kwa tabia ulizo onyesha hapa, you deserve to be a single mother!Nashukuru nimekuwa single mother kwa heri. Na kama usingle mother ni dhambi basi sina shida kuwa mdhambi. Bora nilivyoondoka kwenda kwetu kuliko ningeondoka baada ya kuletewa magonjwa ndani nikiwa na mtoto mdogo. Kaka /dada yangu dunia ina mengi sana ni kumshuru Mungu kwa kila jambo.
Hayo mambo ya ukabila yametoka wapi tena? Kutokana na maelezo yako, hukufukuzwa, uliondoka mwenyewe! So, ukabila unatoka wapi hapo??Nilimweshimu sana baba mtoto wangu lakini sikuwa appriciated sababu sikuwa kabila lake sikuwa mchaga. Ndio maana nakwambia kaka mshukuru Mungu kwa kila jambo mimi hata sioni aibu wala sijisikii vibaya kuitwa single mother ni kweli nina binti mzuri sana ambae siishi na baba yake. Hata nikiwa single mother milele kama unavyosema binti yangu anastahili kuliko mwanaume niliyemwacha.
Naona may be una stress zako kaka pole. Ila narudia kusema usilolijua liache kama lilivyo. Unafikiri kuwa single mother ni tusi au ugonjwa? Ila pole sana kwa unayopitia unaonekana haupo vizuri kisaikolojiaKwa tabia ulizo onyesha hapa, you deserve to be a single mother!
Ktk hoja zako hakuna sehemu ulieleza shaka ya kuletewa magonjwa!
Naona unaugua ugonjwa wa ujinga
Ingekuwa sijui ID ya baba mtoto wangu basi ningehisi ni yeye nini ila kwa kuwa anaijua basi nmehisi unapitia kipindi kigumu basi ukaona heri uje kumalizia stress zako hapa ukidhani ukiniita single mother nitajisikia vibaya. Narudia tena kuwa single mother sio ulemavu wala ugonjwa. Niliondoka kwake February ila kuna mengi yametokea hapa kati nimejua mengi sana ambayo sijilaumu kwa lolote. Pole kwa magumu unayopitia pia.Hayo mambo ya ukabila yametoka wapi tena? Kutokana na maelezo yako, hukufukuzwa, uliondoka mwenyewe! So, ukabila unatoka wapi hapo??
Sio binti yako ni binti yenu. Ubinafsi unawatafuna wanawake wa siku hizi. Ndo nyie mnakuja kuwajaza watoto chuki dhidi ya baba zao.Nilimweshimu sana baba mtoto wangu lakini sikuwa appriciated sababu sikuwa kabila lake sikuwa mchaga. Ndio maana nakwambia kaka mshukuru Mungu kwa kila jambo mimi hata sioni aibu wala sijisikii vibaya kuitwa single mother ni kweli nina binti mzuri sana ambae siishi na baba yake. Hata nikiwa single mother milele kama unavyosema binti yangu anastahili kuliko mwanaume niliyemwacha.
Pole kwa povu mkuu inaonekana ulitelekeza mwanamke na mtoto sasa hivi mtoto wako hataki hata kukusikia. Mimi sina hiyo tabia hata leo binti alikuwa na baba yake na anatumia muda mwingi nae. kusema binti yangu au yetu hakuelezei chochote juu ya uhisiano walio nao baba na mtotoSio binti yako ni binti yenu. Ubinafsi unawatafuna wanawake wa siku hizi. Ndo nyie mnakuja kuwajaza watoto chuki dhidi ya baba zao.
Na wewe huyo wako utakuja kumkuza unamjaza mineno kibao juu ya baba ake hadi na yeye amchukie baba ake kwa mambo ambayo mmekoseana wenyewe na isitoshe huenda angesikiliza upande wa baba huenda angekuona we mama ndo pompoma kwa uamuzi uliofanya wa kumuacha baba ake.
Shame
Habarini wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa mtoto wangu.
Kinachonifanya niombe ushauri ni hali iliyopo sasa.
Mwaka jana mwezi wa 6 mwenzi wangu alikuja kutoa mahari kwetu na kunivalisha pete ya uchumba wakati huo nilikuwa na mimba ya miezi 5.
Upande wa kiume wakaahidi tufunge ndoa mwezi wa 12 lakini ikaonekana kama Mungu akijalia nitajifungua salama basi mtoto atakuwa mdogo sana basi wakasogeza mpaka mwezi wa 4 mwaka huu na wakasema inabidi nikajifungue kwa mamamkwe na nitakuwa chini ya uangalizi wake .
namshukuru Mungu nilijifungua salama.
Sasa hivi mtoto ana miezi 5 wazazi wangu wanasema nirudi nyumbani sababu sijaolewa mpaka wanikabidhi kwa ndoa kabisa ila mama mkwe anasema nibaki sababu mahari ni ndoa tayari kanisani kubariki tuu mimi ni mke wa mtu. mchumba wangu ananiambia nikiondoka kurudi kwetu niondoke moja kwa moja nisirudi kwake. naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Je ni kweli ukishatolewa mahari unakuwa umeolewa? Na nifanye nini katika hili? Mimi ni mbena na mchumba wangu ni mchaga.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupanic single mother. Mi nimetoa ushauri wangu kutokana na experinve niliyo nayo katika malezi niliyolelewa mimi pamoja na wadogo zangu. Kwa taarifa yako mimi sijaoa na sina hata mtoto wa kusingiziwa. Na sababu kubwanya kutotaka kuzaa na mwanamke ambaye sijamuoa/sitamuoa ni hiyo. Sitaki watoto wangu walelewe na single mother. Maana nimeona wadogo zangu waliolelewa na mama wanavyomchukulia baba wakati mimi niliyelelewa na bibi niko very positive kwa baba.Pole kwa povu mkuu inaonekana ulitelekeza mwanamke na mtoto sasa hivi mtoto wako hataki hata kukusikia. Mimi sina hiyo tabia hata leo binti alikuwa na baba yake na anatumia muda mwingi nae. kusema binti yangu au yetu hakuelezei chochote juu ya uhisiano walio nao baba na mtoto
Sijapanick ila nawashangaa mnavyoipamba hiyo single mother utafikiri ni ulemavu. Halafu kumbe mama yako pia ni single mother na wewe ni mtoto wa single mother sasa amepungukiwa nini mama yako mpaka muwaatack hivyo single mothers? Na asilimia kubwa ya wanaume wa JF wanaowasema single mothers kila kukicha wamelelewa na single mothers.Acha kupanic single mother. Mi nimetoa ushauri wangu kutokana na experinve niliyo nayo katika malezi niliyolelewa mimi pamoja na wadogo zangu. Kwa taarifa yako mimi sijaoa na sina hata mtoto wa kusingiziwa. Na sababu kubwanya kutotaka kuzaa na mwanamke ambaye sijamuoa/sitamuoa ni hiyo. Sitaki watoto wangu walelewe na single mother. Maana nimeona wadogo zangu waliolelewa na mama wanavyomchukulia baba wakati mimi niliyelelewa na bibi niko very positive kwa baba.
Ukiona % kubwa wanapinga uamuzi wako na kukuponda usifikiri wana jambo binafsi na wewe. Ukumbuke hatukufaham personally kwa hiyo hatuna chochote cha kukuchukia bali tunakuelekeza upate picha halisi ya maamuzi uliyofanya ikoje kwa jamii na kwa future yako na mtoto wako.
Sasa wewe weka mbele ujuaji na kufikiria watu wote wanakuchukia, olayemanya
Sijapanick ila nawashangaa mnavyoipamba hiyo single motger utafikiri ni ulemavu. Halafu kumbe mama pia ni single mother na wewe ni mtoto wa single mother sasa amepungukiwa nini mama yako mpaka muwaatack hivyo single mothers? Na asilimia kubwa ya wanaume wa JF wanaowasema single mothers kila kukicha wamelelewa na single mothers.
Naona may be una stress zako kaka pole. Ila narudia kusema usilolijua liache kama lilivyo. Unafikiri kuwa single mother ni tusi au ugonjwa? Ila pole sana kwa unayopitia unaonekana haupo vizuri kisaikolojia