Naombeni ushauri nipo njia panda

Naombeni ushauri nipo njia panda

Na kwa nini urudi nyumbani kisa harusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaambiwa nirudi sababu ya harusi...sababu ni kwamba wao walisema tunamuazima aje ajifungue baada ya kujifungua wamekaa kimya bila kuwaambia chochote upande wa kike si kuhusu mtoto au tumemchukua moja kwa moja....kama sio dharau wazazi wenzao ni nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri pia hili.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona labda mnashindwa kuelewa sirudi nyumbani sababu ya harusi...
1. niliambiwa niende nikajifungue kwa mamamkwe na nimejifungua na walitumia neno "tunamuazima"
2. Baada ya kujifungua hawakutoa update yoyote ya maendeleo ya mtoto wala mama waliyemwazima wakakaa kimya
3. Hawajatoa taarifa kwa wazazi wenza kwamba baada ya kujifungua basi anabaki hapa hapa.(refer kauli yao tunamuazima ili ajifungue).

Kiustaarabu walitakiwa kufanya yote hayo ila la kushangaza toka wametoa mahari hata mawasiliano tuu na wazazi wenza hakuna. Wazazi wenzao pia wanahitaji heshima yao na kupewa taarifa ya kinachoendelea na sio kuwafanyia dharau kama hizo.

Mkishafikia hatua hii tayari hapo hata kama kutakuwa na ndoa, manenomaneno hayataisha maana upande wenu tayari uneshaona kuwa wanadhalauliwa.

Labda nikuulize, kabla hijapigwa mimba huyo jamaa yako alikuwa ameshajitambulisha kwenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wakishapokea mahari maana yake wewe sio mali yao tena ni mali ya aliyekutolea mahari.Hizo mbwembwe nyingine ni sherehe tu ambazo kimsingi hazina lolote jipya.Kwaiyo hapo ulipo ndo kwenu haijalishi umeshafanya sherehe au lah.Kwaiyo amua mwenyewe kujipa talaka au ubaki kwa mumeo uko kwenu utaenda kusalimia tu.
 
Naona labda mnashindwa kuelewa sirudi nyumbani sababu ya harusi...
1. niliambiwa niende nikajifungue kwa mamamkwe na nimejifungua na walitumia neno "tunamuazima"
2. Baada ya kujifungua hawakutoa update yoyote ya maendeleo ya mtoto wala mama waliyemwazima wakakaa kimya
3. Hawajatoa taarifa kwa wazazi wenza kwamba baada ya kujifungua basi anabaki hapa hapa.(refer kauli yao tunamuazima ili ajifungue).

Kiustaarabu walitakiwa kufanya yote hayo ila la kushangaza toka wametoa mahari hata mawasiliano tuu na wazazi wenza hakuna. Wazazi wenzao pia wanahitaji heshima yao na kupewa taarifa ya kinachoendelea na sio kuwafanyia dharau kama hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako aya kumbe mgogoro unautengeneza wewe kwasababu mambo ya mawasiliano ni yapande zote ila nikama wewe uko upande wawazazi wako..Napata mashaka kama hiyo ndoa itadumu.ila ngoja tuone.
 
uchagani au nibaki ubenani

Sent using Jamii Forums mobile app
we mwanamke wa ajabu kweli umetoloewa mahali na umetotoa watoto wawili unasema bado hujaolewa how? kwani wazazi wako walikutafutia huyo mme. kaa jenga familia yako mtabaliki ndoa mkipata nafasi. Ndoa ni upendo wa dhati blabla zingine ni time wastage na money. ndo maana huyo jamaa kakukazia anaona hujielewi
 
mtoto wa pili umenipa wewe mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza hicho kitumbua kwa mumeo kiliwe acha papara

Wazazi wako si washalamba mahari sasa wanataka nini tena

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa umenichekesha. Vp avatar yako umebadili? Au kuna akina Beira boy wawili humu?
BTW mtoa Uzi m naona ubaki tu kwa mumeo matharan mnaishi bila shida hakuna tatizo.
Wengi walikimbilia kufunga ndoa lakin hawakudumu huko. Kama aman ipo we baki tu huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata km wengne hatujaingia kwenye ndoa ila vitu vingne tusidanganyanee, Hv suala dogo km hilo mtu anakupa vitisho km hivyo? hivi kuna upendo hapooo? , wazazi wako wakulee kpnd chote hicho halaf lijitu likukataze from no where tu kwenda kuwapa mkono wa kwaheri wazazi wako kisa katoa kijipesa chake au kwa kuogopa u single mother? Halaf baada ya kutoa hela hataki mawasiliano tena na wazazi wako na haoni thamani yao tena.

Dada ukikubali hilo ni sawa na kukubali ya kua ulilelewa na kupewa kila kitu na wazazi wako ili mwisho wapate hela ya Mahali halfa basi, Siijui ndoa hata chembe ila tusidanganyane kwa akili ya kawaida Huu ni upuuzi wa hali ya juu, Hakuna mtu mwenye upendo na busara anaweza kukutisha au kutojali wazazi wa waliompa Mke/mchumba na mtoto.

BTW, siwezi nikafanya Bet yyt kati ya mzazi wangu na Mtu mwingne yyt.
 
wazazi wako ndio wanaokuchanganya kabisa, sasa kwa nini walikuruhusu ukazalie kule...wanataka wacompilcate mambo mahari ishatolewa hapo ni kusonga mbele sio kurudi nyuma, mfunge hata hapo home aje pastor amalize kazi
 
Back
Top Bottom