trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
- Thread starter
- #121
Sijaambiwa nirudi sababu ya harusi...sababu ni kwamba wao walisema tunamuazima aje ajifungue baada ya kujifungua wamekaa kimya bila kuwaambia chochote upande wa kike si kuhusu mtoto au tumemchukua moja kwa moja....kama sio dharau wazazi wenzao ni nini??
Sent using Jamii Forums mobile app