Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1) Kwanza Kabisa hilo la ukabila futa kabisa,kwani kama asingekuwa appreciated kwako asingefunga Safari mpk huko kwenu kuja kutoa MAHARI.Nilimweshimu sana baba mtoto wangu lakini sikuwa appriciated sababu sikuwa kabila lake sikuwa mchaga. Ndio maana nakwambia kaka mshukuru Mungu kwa kila jambo mimi hata sioni aibu wala sijisikii vibaya kuitwa single mother ni kweli nina binti mzuri sana ambae siishi na baba yake. Hata nikiwa single mother milele kama unavyosema binti yangu anastahili kuliko mwanaume niliyemwacha.
1) Kwanza Kabisa hilo la ukabila futa kabisa,kwani kama asingekuwa appreciated kwako asingefunga Safari mpk huko kwenu kuja kutoa MAHARI.
2)Kutokana maelezo yako uliondoka mwenyewe bila kufukuzwa kwa TABIA ZAKO ZA KIBURI CHA KWENU huko UBENANI,.
3) Kwa maelezo inaonekana wewe ujafundwa kimaadili ya kuishi na mume,ss kama umepewa zaidi ya mtoto mzuri mlele vizuri asiwe na tabia kama zako,stp.
4)Unijui sikijui kama na kiburi chako, TAKE IT TO THE BANK,
Dada kubali ushakuwa single mother. Mimi mama angu alikuwa single mother kwa wadogo zangu na naona walivyo walivyo hata kujiamini amini hawajiamini kama ni ndugu zetu. Yani hata likitokea tukio la kofamilia tukijumuika unaona wao wanajitenga tenga. Ni kama hawana confidence na sisi, ni kama hawampend baba na mashangazi. Yani maneno ya mama juu ya baba na mawifi zake (mashangazi) yamewajengea chuki watoto.Sijapanick ila nawashangaa mnavyoipamba hiyo single mother utafikiri ni ulemavu. Halafu kumbe mama yako pia ni single mother na wewe ni mtoto wa single mother sasa amepungukiwa nini mama yako mpaka muwaatack hivyo single mothers? Na asilimia kubwa ya wanaume wa JF wanaowasema single mothers kila kukicha wamelelewa na single mothers.
Huyu anaonekana alidanganywa na wazazi wake ndo wanamdekeza.1) Kwanza Kabisa hilo la ukabila futa kabisa,kwani kama asingekuwa appreciated kwako asingefunga Safari mpk huko kwenu kuja kutoa MAHARI.
2)Kutokana maelezo yako uliondoka mwenyewe bila kufukuzwa kwa TABIA ZAKO ZA KIBURI CHA KWENU huko UBENANI,.
3) Kwa maelezo inaonekana wewe ujafundwa kimaadili ya kuishi na mume,ss kama umepewa zaidi ya mtoto mzuri mlele vizuri asiwe na tabia kama zako,stp.
4)Unijui sikijui kama na kiburi chako, TAKE IT TO THE BANK,
Yametimia mkuuHuyu anaonekana alidanganywa na wazazi wake ndo wanamdekeza.
Wazazi washamharibia bila yeye kujua. Nimegundua tatizo lilipo
Dah baada ya kupita kule kwenye uzi wako mwingine.Habarini wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa mtoto wangu.
Kinachonifanya niombe ushauri ni hali iliyopo sasa. Mwaka jana mwezi wa 6 mwenzi wangu alikuja kutoa mahari kwetu na kunivalisha pete ya uchumba wakati huo nilikuwa na mimba ya miezi 5.
Upande wa kiume wakaahidi tufunge ndoa mwezi wa 12 lakini ikaonekana kama Mungu akijalia nitajifungua salama basi mtoto atakuwa mdogo sana. Wakasogeza mpaka mwezi wa 4 mwaka huu na wakasema, inabidi nikajifungue kwa mama mkwe na nitakuwa chini ya uangalizi wake.
Namshukuru Mungu nilijifungua salama. Sasa hivi mtoto ana miezi 5 wazazi wangu wanasema nirudi nyumbani sababu sijaolewa mpaka wanikabidhi kwa ndoa kabisa ila mama mkwe anasema nibaki sababu mahari ni ndoa tayari kanisani kubariki tu, mimi ni mke wa mtu.
Mchumba wangu ananiambia nikiondoka kurudi kwetu niondoke moja kwa moja nisirudi kwake. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Je, ni kweli ukishatolewa mahari unakuwa umeolewa? Na nifanye nini katika hili? Mimi ni mbena na mchumba wangu ni mchaga.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu niliondoka kwa sababu nyingine kabisa.Dah baada ya kupita kule kwenye uzi wako mwingine.
Natamani sababu ya ninyi kuachana isiwe uliondoka ukamuacha huyu jamaa maana itakuwa haukuplay fair pia.
Sawa dada pole sana.
Dada yangu trudie naomba kukuuliza swali personal
Ndio baba na mama wanaishi pamoja kama mke na mume kwa ndoa ya kikristoDada yangu trudie naomba kukuuliza swali personal
Mama na baba (wazazi) wanaishi pamoja kama mke na mume?
Sent using Jamii Forums mobile app
OK poa poaNdio baba na mama wanaishi pamoja kama mke na mume kwa ndoa ya kikristo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu hatukufunga ndoa, baada ya muda kila mtu aliendelea na maisha yake.Vipi mrejesho mlishafunga ndoa?
Mahari sio ndoa,sheria haitambui hio
Hapana mkuu hatukufunga ndoa, baada ya muda kila mtu aliendelea na maisha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app