Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

Ongea kiswahili au ipeleke chatgpt waitafsiri kiswahili then unaicopy unapaste humu
 
Tatizo lipo kwako na umeliona,

Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.

Rekebisha hilo amani ya ndoa yako itarudi.
 
Tatizo apo ni wewe mkuu!! Inawezekana ulikuwa nae ili kupunguza ukali wa maisha sasa sa ivi una kazi unamuona mzee!!! Lakini nikwambie kitu kwanza acha michepuko yote lazima utampenda mkeo!! Huyo ni mtu muhimu kwako ukitaka kujua hilo jaribu kumuacha!!! Iyo ndo nyota yako acha michepuko tunza mkeo na watoto wako” umri sio tatizo kwenu
 
Ukimuacha mwanamke asiye na hatia mbingu zitasimama na wewe ukimuacha mwanamke mwenye hatia utajinusuru na kaburi
 
Sasa kama papuchi ni tamu,na maisha yanaenda hizo mbwembwe nyingine ziache itakula kwako.Wewe ni pepo la umaskini linakuita,jifanye kama unamkemea shetani muda wote utaona faida.
Hebu acha ujinga komaa achana na fikra potofu wanawake wako sawa kasoro tabia na **** zao wengine mvundo,mnato, bwawani,Mtaro lakini all in all Linda familia
 
Huyo mwanamke nipe namba yake halafu wewe achana nae ,
Maana utumbo wako umeandika hapa,hata ungeoa mwingine kuna siku utamchoka as human being malaya kama wewe,
Nipe namba yake niwe nae mimi na wanao chukua
 
Wewe ndio kama umeolewa hapo ukawekwa ndani kwake ukatafutiwa na kazi
Hapo huna sauti ndio maana unahisi upo jela

Mtafute mwanasheria sasa kina kibatala wakutoe jela
 
Ni eidha unamapepo machafu,

au hao wanawake wa huko nje wanakufunga umchukie mke wako,

au ulipelekwa kwa huyo mwanamke kiroho bila wewe kujitambua.
 
Mkuu vp kule kwenye uzi wetu kuna updates zozote?. I wish to know the end of your story brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…