Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi.

Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34.

Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.

Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sana na kuanzisha familia nikaogopa kumdisappoint tu nikaamua tuendelee kuishi kama familia.

2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.

Sasa kadri maisha yalivyozidi kusonga ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua kwa mke wangu sielewi. Naona kama nilikurupuka kuoa hivi, au ni kama nilioa kwa sababu ya uoga wa maisha.

Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.

Nimejikuta tu nimekuwa mtu wa kuwa na mademu wengi huku nje tu angalau tu nafsi iridhike, nyumbani narudi tu kuzuga. Nafanya mapenzi nae ile tu nitimize wajibu lakini sina furaha.

Sijui kama unanielewa? Huyu mwanamke hana kasoro yoyote amefanya kila kitu mwanamke anatakiwa kumfanyia mume wake lakini bado roho haijamkubali mwisho wa siku najikuta natafuta furaha nje kutoka kwa wanawake wengine na michepuko, sasa sielewi ni mimi au na wanaume wenzangu wanaoishi kwenye ndoa wapo hivo au inakuwaje.

Najiona kama vile naishi ndani ya jela la kujitakia. Naombeni ushauri.

(Kutoka page ya Lawi Murunga)
Kwa uzoefu wangu wewe kilombi wa Keke sana na upuyanga kwenye vipochi manyoya vya aina mbali mbali ila na pia nikushauri na nikupe tiba ya tatizo. Kwenye wanawake wote ulionao kuna mmoja sio mwema hata kidgo yeye anataka kukumiliki na uitelekeze familia KAA chonjo kama mtu mzima umenielewa angalia sana unapomwaga shahawa kuna mmoja amezitumia vizuri kwa upande wake na usipoangalia hutaweza kusimamisha dushelele mbele ya mke wako.. kuna wale wabishi najua mtanivamia na misemo kuwa Mungu anatosha ila Jamaa huu ndio mwanzo wa Anguko lake asipojiangalia na hio Kazi yake ni atafukuzwa naongea mwa experience kwasababu YALINIKUTA kama yeye bila kujiwahi sasa ivi ningekuwa wa ovyo 🙏🙏🙏
 
Laiti kama ungekataa ndoa mapema haya yooote yasingekukuta.

Lakini tamaa zako za kulelewa ukaona sawa kukaa na mwanamke aliekuzidi umri wa miaka 5.

Akakutafutia na kazi, sasa umepata kazi unamuona mzee? Huyo ni chaguo lako mzee.
😃 Nimeona Bora nicheke maana anachekesha
 
Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi.

Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34.

Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.

Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sana na kuanzisha familia nikaogopa kumdisappoint tu nikaamua tuendelee kuishi kama familia.

2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.

Sasa kadri maisha yalivyozidi kusonga ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua kwa mke wangu sielewi. Naona kama nilikurupuka kuoa hivi, au ni kama nilioa kwa sababu ya uoga wa maisha.

Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.

Nimejikuta tu nimekuwa mtu wa kuwa na mademu wengi huku nje tu angalau tu nafsi iridhike, nyumbani narudi tu kuzuga. Nafanya mapenzi nae ile tu nitimize wajibu lakini sina furaha.

Sijui kama unanielewa? Huyu mwanamke hana kasoro yoyote amefanya kila kitu mwanamke anatakiwa kumfanyia mume wake lakini bado roho haijamkubali mwisho wa siku najikuta natafuta furaha nje kutoka kwa wanawake wengine na michepuko, sasa sielewi ni mimi au na wanaume wenzangu wanaoishi kwenye ndoa wapo hivo au inakuwaje.

Najiona kama vile naishi ndani ya jela la kujitakia. Naombeni ushauri.

(Kutoka page ya Lawi Murunga)
Aiseeee
 
Utatukanwa bure,na wakat mwingine utakosa ulichokusudia,

Km hautojali Ni pm tupean mawazo kidogo!
 
Dar hii, matukio ni mengi mno kwa kina dada, usikute kati ya hao wanawake unaojirusha nao kuna mmoja kakulisha muhogo mchungu (dawa / uchawi) ili umuone mkeo kama mavi. Wanawake wengi wa hapa Bongo wako hivi, never trust them.
 
We nguvu ya hela ya huyo mwanamke ilikuponza hukumpenda bali hela zake zilikufanyauone unampena
 
Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi.

Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34.

Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.

Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sana na kuanzisha familia nikaogopa kumdisappoint tu nikaamua tuendelee kuishi kama familia.

2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.

Sasa kadri maisha yalivyozidi kusonga ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua kwa mke wangu sielewi. Naona kama nilikurupuka kuoa hivi, au ni kama nilioa kwa sababu ya uoga wa maisha.

Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.

Nimejikuta tu nimekuwa mtu wa kuwa na mademu wengi huku nje tu angalau tu nafsi iridhike, nyumbani narudi tu kuzuga. Nafanya mapenzi nae ile tu nitimize wajibu lakini sina furaha.

Sijui kama unanielewa? Huyu mwanamke hana kasoro yoyote amefanya kila kitu mwanamke anatakiwa kumfanyia mume wake lakini bado roho haijamkubali mwisho wa siku najikuta natafuta furaha nje kutoka kwa wanawake wengine na michepuko, sasa sielewi ni mimi au na wanaume wenzangu wanaoishi kwenye ndoa wapo hivo au inakuwaje.

Najiona kama vile naishi ndani ya jela la kujitakia. Naombeni ushauri.

(Kutoka page ya Lawi Murunga)
Ni story, anyway yapo hayo ila hata huyo mke hakupendi anazuga tuu alitaka watoto keshapata wee ondoka tuu.
 
Ulisharogwa na mademu wa nje, haya ndiyo madhara ya kugonga nje ya ndoa.
 
Bila shaka huyo ni mwanamke sahihi kwako na ni mke sahihi.

Ninachoona ni kuwa hakuna hamsha hamsha kwenye ndoa, mmezoeana. Yaan Hakuna jipya.

Cha kufanya:-

1. Jaribu kutoka home, danganya hata safar ya kikazi au msiba au chochote utoke home hata wiki 1. Kaa huko usiwaze kuhusu family then uone ni siku ngap utapitisha bila kummic mke na watoto wako,
Ndio utajua kuwa wanaumuhimu kias gan

2. Jaribu kuchunguza kwa undani hao wanawake wa nje ulionao , (utagundua mkeo ana afadhali na anakupenda mara 100 za hao michepuko wanaotaka huduma kwako

3. Mara nyingne raha ya mapenz ni mgombane gombane , mnuniane , mkaripiane kidogo, roho ziumie and in a process ya kubembelezana. mapenz pia yanarud na kuchepuka upya.
Penz likiwa too perfect linachosha na unakinai.
Umeua hapo mwisho, lazima viugomvi viwepo...perfectism kumbe inachosha, kaka aliachwa na mwanamke akasema mwamba amenyooka sana...niliogopa sana, kumbe hautakiwi kunyooka sana
 
Kinachochosha kwenye ndoa mara nyingi ni mazoea. Inafika kipindi mwanamke anakuzoea kiasi cha kutokuwa na jipya. Mfano anakuwa mchafu, anashinda na manguo ya hovyo hasa siku za weekends, mahaba yabapungua, uandaaji mbovu wa misosi, uchafu wa nyumba kwa ujumla n.k. Mwanamke akishafikia hapo, trust me mspenzi lazima yapungue!! Mbaya zaidi unakuta unajipa muda wa kumkosoa na kumuelimisha lakini wapi!!. Hajui kuvaa kimahaba hasa kitandani. Anaweza kuvaa limchupi la hovyohovyo na linight dress chakavu wakati unampa hela za kutosha!!. Yaani inshort wanawake mngejua siri ya nini hasa tunataka, tusingekuwa tunahangaika nje. Ila daa, mkituzoea mnaboaga kichizi.
 
Back
Top Bottom