Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

uliwezaje kupata wateja kwa bidhaa ambayo hauna?

uliwaonesha Sample gani?
Wateja unapata mkuu, watu hawana shida na sample sio biashara ya makampuni makubwa kwa kuangalia tu maelezo ya mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…