Naombeni ushauri wa busara, amemfukuza mke wake kwa sababu yangu

Recycle bin imekutendea mbaya mkuu, pole sana kwa mkasa huo.
 
aliambiwa kaua na hajaua akafungwa alivotoka akamuona yule jamaa alofungwa kwajil yake,,akamuua kwel mbele ya watu wazito😆😆kama sijakosea
Kweli kabisa..yaani alitumikia adhabu kabla ya kosa..alivyotoka akatenda lile kosa alilofungwa nalo kesi ikaisha.
 
Kweli kabisa..yaani alitumikia adhabu kabla ya kosa..alivyotoka akatenda lile kosa alilofungwa nalo kesi ikaisha.
aloooh umemshauri kitaalamu sana,,asipoelewa basi tena
 
Reactions: BRN
Nyie kama sio walimu basi mnisamehe..maana walimu ndio wana mambo ya kijingajinga hivi..
Anyway we mchape mashine tu huyo mke wa jamaa ili kuhalalisha hizo tuhuma zake.
 
Sio wote walioko magerezani wana makosa.
Nakushauri uingie ndani kwako uombe serious kabisa kwa Imani yako mwisho hili jaribu litapita kushoto lenyewe.... Kumbuka shetani sio mpaka umuone sura
 
Za asubuhi shemeji
 
Sasa hv tumelewa.. huo ushauri wa busara hadi kesho baada ya supu.
But on a serious note, lazma uliendelea kum entertain huyo shemeji yako maana ungeweka mipaka tangu mwanzo yasingetokea haya
Ni kawaida ya waomba ushauri wengi huwa hawaongelei upande wao mbaya, mabaya yote huyasukumiza kwa wengine
Si ajabu hata hizo sms kaziedit .
 
Ni kawaida ya waomba ushauri wengi huwa hawaongelei upande wao mbaya, mabaya yote huyasukumiza kwa wengine
Si ajabu hata hizo sms kaziedit .
MKUU hii ni kweli kabisa hawa watoa ushauri, hata ukikuta kwenye ndoa mume kamtendea vibaya mke wake hasa maswala ya kucheat au kuzaa nje ,
Mke akilalamika utakuta wanamtupia lawama mke wake.

Wengi wao wanasema mume kakuoa kwa sababu wewe ndo mke na wengine sio, ila wanasahau kuwa mume ni malaya, hasa wenye huu ushauri ni watoa ushauri wa kiume.
 
Utakuwa umemla tu, haiwezekani mwanaume akurupuke hivyo.

Kama unajiamini hujamla issue iende kwenye uongozi hapo job kwenu.

Kufanya kazi ofisi moja wana ndoa matokeo ndo hayo.
 
Muachage mazoea na ndoa za watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pumbavu
 
Utakuwa umemla tu, haiwezekani mwanaume akurupuke hivyo.

Kama unajiamini hujamla issue iende kwenye uongozi hapo job kwenu.

Kufanya kazi ofisi moja wana ndoa matokeo ndo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…