co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Wanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.
Naomba mnisaidie kimawazo.
1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.
2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.
Which Is best option?