Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Biashara ya magari ni pasua kichwa, usiwaze kabisa.Si bora ninunue ist nifanye Uber
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya magari ni pasua kichwa, usiwaze kabisa.Si bora ninunue ist nifanye Uber
For sure indeedThe best option for you is to grow-up.
Afikishe kiasi gani mkuuOngeza kipato Kwanza halafu ndio ufikirie kununua gari.
Mpaka anunue Bugati Ni leo [emoji16][emoji16]Acha ufala ukishanunua gari nini sasa? usifuate mtu anafanya nini zisake ukipata ngingi nunua BUGATI utakuwa umewapiku kirahisi
Na maisha Ni lazima usemwe ndio utakuwa na hasira nayo ,,Sawa ila sio poa,najaribu hadi nahisi vidada vya hapo nje nivanisema
Hama haraka sanaWanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.
Naomba mnisaidie kimawazo.
1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.
2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.
Which Is best option?
Nini Boda?. Ww panda Dala Dala kabisa. Ishi maisha yako. Ukiishi kwa kuiga utateseka Sana apa duniani. Iyo pesa kanunue kiwanja jenga ingiza wapangaji, pesa unayopata nunua tena kiwanja jenga kwa ajili yako, Baada ya apo tafuta gari la uwezo wako... Tumbua maisha.Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
Ushauri babkubwaNini Boda?. Ww panda Dala Dala kabisa. Ishi maisha yako. Ukiishi kwa kuiga utateseka Sana apa duniani. Iyo pesa kanunue kiwanja jenga ingiza wapangaji, pesa unayopata nunua tena kiwanja jenga kwa ajili yako, Baada ya apo tafuta gari la uwezo wako... Tumbua maisha.
La mwsho, kwani umeoa mkuu?
Kuwa na Kazi sio tatizo Mkuu [emoji1][emoji1]. Sijui nikuambieee[emoji848]Wote wanakazi
The best option ni kufanya tofauti na wao. Nunuaa kiwanja, jenga!Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
option zote mbovu jiwekee malengo usifanye anasa weka malengo ya 20M ndani ya miaka miwili ufungue biashara in 2024, hao wote hujazaliwa nao be yourself young BoyWanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.
Naomba mnisaidie kimawazo.
1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.
2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.
Which Is best option?
umemaliza kila kitu sina cha kusema.Maisha Ni ushindani , kujifunza, uvumilivu, kujipa muda , Nakuamini katika process, sio kila kitu unachotaka kukifaya Basi utakifanya tu baada ya usiku 1 na usije kuacha mipango yako ya msingi ambayo imelenga kufikisha sehemu Fulani utakayo changia kutimiza Malengo Fulani kisa tu umemuona Fulani kafanya Jambo fulani ,
May take --katika dunia yetu ya sasa gari ni muhimu Sana
Aisee!Nimeshawai kupitia hali kama yako mzee, inaumiza sana sana sana, ila option namba mbili ndio kila kitu na mimi nilifata option iyo, usiwasikiliza hao wanao sema kuwa sijui usinunue gari maana utashindwa kuliudumia, kila kitu kinapangwa na mungu nunua gari pambana na mambo yote yatakaa sawa.