Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kopa pesa uongezee na iliyoko bank ili ununue gar maana ndicho unachotamn kusikia kutoka kwetu japo wakuu wanakushaur vzr kwamba ishi maisha yk lkn pia huwez jua wao wamepaj hayo magar; ila ww bd umeshupaza shingo sijui unajikia vby Mara waschn wanakuon siyo!! Ilimrad tuu tukwambie ng'oa ndinga!! Na ni kama hujui nn unataka!!Sawa ila sio poa,najaribu hadi nahisi vidada vya hapo nje nivanisema
Sasa unalalamika au unataka ushauri? Nunua Hilo gari u enjoy acha kulialia humu jukwaani!.Yaani nakua bored,asubuhi wote wanaondoka na ndinga mimi nachukua boda…Hali hii sipendezwi nayo
Kumbe kwa ajili ya vidada, vinunulie visikuseme.Sawa ila sio poa,najaribu hadi nahisi vidada vya hapo nje nivanisema
"He is wise,who is contented with small things" Epicurus.Wanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.
Naomba mnisaidie kimawazo.
1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.
2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.
Which Is best option?
Shauri zako,fuata ushauri maana uliomba ushauri, staki kukumbuka time Nikiwa 28 h😢😢😢Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
Basic or take home??
Usafiri ni Jambo zuri sana Ila kama kipato chako kidogo nunua pikipiki gari Lina garimu sna kama kipato chako kidogo utaonaa kama umeingia Chala nunua pikipiki furahia mizunguko yako japo inabidi uwe makini sana barabarani kingine embu Hama apo ulipo tafuta eneo lingine la kuishiBro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
😂😂Option no 12. Wagongee madem zao.
Coz shida yako ni unyonge, ukifanya hivyo yaani uta-enjoy sana maisha. Utanishukuru baadae.
Usafiri ni Jambo zuri sana Ila kama kipato chako kidogo nunua pikipiki gari Lina garimu sna kama kipato chako kidogo utaonaa kama umeingia Chala nunua pikipiki furahia mizunguko yako japo inabidi uwe makini sana barabarani kingine embu Hama apo ulipo tafuta eneo lingine la kuishi
Wao walinunua magari kwa kuigana na kufatana(kwa maana ya muda kati ya mmoja na mwingine wa kununua hayo magari) au kulikuwa na utofauti.?Wanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.
Naomba mnisaidie kimawazo.
1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.
2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.
Which Is best option?
Wao walinunua magari kwa kuigana na kufatana(kwa maana ya muda wa mmoja na mwingine wa kununua hayo magari) au kulikuwa na utofauti.?
Hao wa mwaka jana ilikuwa ni mwezi mmoja au?Wawili walinunua mwaka jana,mmoja alivyorudi kutoka likizo mwezi wa kwanza kaja nalo..Wa mwisho ambaye alikuwa ananipa company tupo wote last week ndo kaja nalo ka kadi ya gari ina jina lake…Sasa mara wakague kague pale waitane mara Sijui bumper imekuaje mara mafuta ya sheli Fulani yanakaa sana ilimradi tu Fujo pale…Sasa mimi nikisikia hivyo nataka niwajibu kwamba nami nimo
Kujenga huko kwani ukiondoka na boda huwi wewe????Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?