Naombeni ushauri wa chaguo sahihi kati ya haya

Naombeni ushauri wa chaguo sahihi kati ya haya

Wanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.

Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.

Naomba mnisaidie kimawazo.

1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.

2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.

Which Is best option?
Una kipato gani kwa mwezi? Nikijua hilo nitakushauri.
 
The other option is to buy a land and build a house while you still at the current place hahaaaa friendship ends whenever friends start to compete against each other
 
The other option is to buy a land and build a house while you still at the current place hahaaaa friendship ends whenever friends start to compete against each other

Ok wise one
 
Hiv umeshayaona maisha yako bahada yakununua iyo gari yatakavyokua ? Ichore picha ya future yako af linganisha na maishayako yasasa..

Chagua Kati ya maisha ya competition na maisha yako halisi kipi Bora ..

Ukisha kopa huo mkopo nini kitatokea ?

Vijana wa 5 kuishi nyumba moja siyo vizuri
Kwakua mtaambukizana vijitabia either nivizuri au vibaya ..

Kama unais auko comfortable nao nibora ujitenge mapema ila siyo kwaubaya leave for peace ..kwakua age ya 28 ni umbri wakua na familia au kua na uhuru wako na maamuzi yako na privacies zako

Usipohama wewe leo vipi wakianza kuama wao utajisikiaje ? Kwan unadhan utaishi apo milele ?

Grow up ..

Ok bora nihame
 
Yaani nakua bored,asubuhi wote wanaondoka na ndinga mimi nachukua boda…Hali hii sipendezwi nayo
Achana na mawazo ya ndinga, Tafuta biashara ufanye, usihame hapo. Katika maisha mtu mkubwa unayeshindana naye ni wewe mwenyewe, ndio maana ushauri wa kwanza uliambiwa ''grow up", Maana yake jua kwanini unatakiwa kuwa wewe kama wewe.
Maisha yako wewe ndio dereva wake, amua tokana na malengo uliyonayo.
Hongera kwa kuwa na akiba ya 4M mwanzo mzuri.
 
Hapo kwenye biashara ni wazo jingine.
 
Nikitoka ushauri hapa

Wewe n kijana wa rika langu,acha nikuambie kitu,iv unahisi wao walivyonunua magari walimuiga nani?waliona kwa level waliyofikia wanapaswa watembelee matacle thus y wakanunua,sasa wewe unataka ununue gar tena ukope more than 3 milion ili uendane nao how it's possible??haya tufikiri umekopa ela ukanunua gar kabla hujamaliza kulipa mkopo wa gari wakanunua viwanja wakaanza ujenzi huon utapata stress??pangilia maisha yako,,tuliza hilo bichwa kaa sehem tulivu chora mipango yako alaf Anna kuitekeleza taratibu.

N.B;kama unaona unateseka hapo tafuta sababu ambayo haitovunja urafiki wenu uhame hapo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nikitoka ushauri hapa

Let me pass through it
 
Back
Top Bottom