Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
Dah [emoji22]RiP…
Mkuu acha utani basiii inaumaMkuu kama umebakiza kahela kidogo naomba uje Pm tuyajenge nikuuzie jeneza zuri kwa bei nafuu kaka ili hata unapojinyonga usiwaachie mzigo ndugu zako maana hali ngumu mtaani.
Niko seriously mkuu maana hata hapo Dar nina kijiwe changu nawapigia simu fasta nawapa oda yako wanakuletea chap
Dah [emoji22]Laki 5 zimefanyaje? Hata sijasoma uzi [emoji1787][emoji23][emoji23]
Nilipoona tu kuna binti nampenda kupitiliza basiiii
Mrembo kala hela zote alafu hataki kutoa mbususu...sasa mwatuchanganya mara mseme hela kilainishi cha mbususu...mkipewa hela tule mbususu mnaanza story oh jamaa mwenyewe wala simpendi🤣🤣🤣🤣Laki 5 zimefanyaje? Hata sijasoma uzi 🤣😂😂
Nilipoona tu kuna binti nampenda kupitiliza basiiii
Mkuu mapenzi yasikie tu kwa jirani inaumaaaaDate, olewa, oa rafiki yakoooo, na aijue vizuri akili yako.
Tatizo nyie mnaangaikia trakooooo na uzuri.
Haya msalimie baba angu bhn yupo hukoooo
RIP Dady...
Mkuu naomba msaada wa kumpata hata mganga wa kienyejiMrembo kala hela zote alafu hataki kutoa mbususu...sasa mwatuchanganya mara mseme hela kilainishi cha mbususu...mkipewa hela tule mbususu mnaanza story oh jamaa mwenyewe wala simpendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuuuu acha masihala bhasiiUza Figo million 90@
Then jiue waache vizuri wanaokutegemea
Niko seriously mkuu kama una balance kidogo tuongee ntakupunguzia bei ya jeneza kaka halafu msalaba unapewa bure kabisaMkuu acha utani basiii inauma
Hii stori itakuja kuwa kama ya yule jamaa wa sumu nzuri ya kujiuarikiboy njoo huku ushauri, Man down i repeat
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kmmk weee jamaaUnajua mtu anaetaka kujinyonga ndugu..?
Haupo serious wewe tulia walimwengu wakuonyeshe ufundi[emoji23]
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.
Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.
Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Nakushauri uende haja kubwa kwa ufasaha kabla ya kujinyonga,... wenzako wote waliojinyonga walitupa shida ya kuwatoa kwenye kitanzi wakiwa na harufu Kali ya makimba.....Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.
Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.
Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
kajiue iwe fundisho kwa huyo mwanamke. Andika wosia weka mfukoni tangulia mberePoleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.
Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.
Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Endelea tu kumuhonga. Laki tano yako haitoshi hata kununua kipande kimoja cha muhogo MwibomaPoleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.
Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.
Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Nilikuwa nakuheshim saana na nilipoona komenti yako nikapata tabasamu, kumbe naww ni muhuni tuEndelea tu kumuhonga. Laki tano yako haitoshi hata kununua kipande kimoja cha muhogo Mwiboma