Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Mkuu kama umebakiza kahela kidogo naomba uje Pm tuyajenge nikuuzie jeneza zuri kwa bei nafuu kaka ili hata unapojinyonga usiwaachie mzigo ndugu zako maana hali ngumu mtaani.
Niko seriously mkuu maana hata hapo Dar nina kijiwe changu nawapigia simu fasta nawapa oda yako wanakuletea chap
Mkuu acha utani basiii inauma
 
Laki 5 zimefanyaje? Hata sijasoma uzi 🤣😂😂
Nilipoona tu kuna binti nampenda kupitiliza basiiii
Mrembo kala hela zote alafu hataki kutoa mbususu...sasa mwatuchanganya mara mseme hela kilainishi cha mbususu...mkipewa hela tule mbususu mnaanza story oh jamaa mwenyewe wala simpendi🤣🤣🤣🤣
 
Date, olewa, oa rafiki yakoooo, na aijue vizuri akili yako.
Tatizo nyie mnaangaikia trakooooo na uzuri.
Haya msalimie baba angu bhn yupo hukoooo
RIP Dady...
Mkuu mapenzi yasikie tu kwa jirani inaumaaaa
 
Mrembo kala hela zote alafu hataki kutoa mbususu...sasa mwatuchanganya mara mseme hela kilainishi cha mbususu...mkipewa hela tule mbususu mnaanza story oh jamaa mwenyewe wala simpendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu naomba msaada wa kumpata hata mganga wa kienyeji
 
Ukweli usioujua wanaoana na kuachana ujue walipendana mwanzo hapo Kwa vile hujaonja ndo maana unaona anakusumbua

Anyway temana nae kama anakuzungusha sana block kila kona na mtaa uhame hata angekukubalia mngekuja chokana ipo siku tu mwache aende usichukue hatua yeyote ile maana utaghrarimu wazazi wako wakati huyo paka hana time na wewe
 
Yani kwamba mpaka sahivi hujajinyonga unasoma comments??!
Na unatoaje hela nyingi hivo hata kukubaliwa ya uongo hujapewa??!

Anyway umelala yooo..!😂😂
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante

Hauna faida, we endelea tu, halafu bado shuruba za Jehanam
 
Nakushauri uende haja kubwa kwa ufasaha kabla ya kujinyonga,... wenzako wote waliojinyonga walitupa shida ya kuwatoa kwenye kitanzi wakiwa na harufu Kali ya makimba.....
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
kajiue iwe fundisho kwa huyo mwanamke. Andika wosia weka mfukoni tangulia mbere
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Endelea tu kumuhonga. Laki tano yako haitoshi hata kununua kipande kimoja cha muhogo Mwiboma
 
Mkuu kunywa sumu,akisikia umekunywa sumu ndio atakuelewa.
Maana wanasema kenge hasikii mpaka atoke damu puani
 
Back
Top Bottom