Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #81
Acha utani basiUtoto raha
[emoji22][emoji22][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Asante ila siwezi msahauRelax, na amini kuwa hiyo ni stage katika mapenzi, wote humu ndani wanaume kwa wanawake tumewahi kukataliwa na wale tuliowapenda sana.
Unachotakiwa kufanya ni kuwa bize na mambo yako, na hapa ikumbukwe kuwa bado utaumia lkn unapaswa kuvumilia, ni suala la miezi kama mitatu tu itakufanya umsahau au umuone wa kawaida.
Mungu akutangulie, na nakuombea sana usiwe na wazo la Kuua au kujiua
Sawa hapo Sawa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wababu wahuni ndio tunaifanya dunia kuwa mahali pazuri kuliko paradise. Ñext time usiwekeze moyo wako kwa mademu, wekeza kucha na nywele, hata ukivikata vinaota. Moyo unauma sana aisee
Oook SawaMganga wa nini wee wape wana laki nne wakamzabue makofi kadhaa
Nipo hapa, nitumie 250k nianze kazi kisha utamalizia 250k kazi ikimalizikaMkuu naomba msaada wa kumpata hata mganga wa kienyeji
We tapeli, Lofa weNipo hapa, nitumie 250k nianze kazi kisha utamalizia 250k kazi ikimalizika
Dah [emoji22]Tuelekeze ni wapi utazikwa tufike kushiriki mazishi au kama utataka ufe baada ya mfungo ni wewe au ule Iddi kwanza ni wewe utachagua mwenyewe lakini nakushauri usijinyonge mbali na kwenu utatusumbua kubeba maiti yako
Duuuuuhhhhh [emoji122].upo skillful brooo, Asante sana nitazishikilia falsafa zakoHello!!! Albert Einstein aliwahi kusema hivi "in the middle of difficulty, lies opportunity.....
Nelson Mandela akasema "it's always seems impossible until is done"...
Albert Einstein anamanisha kuwa katikati ya changamoto (ugumu) ndipo kuna fursa. So, ugumu huo chukulia kama changamoto tu then zigeuze kuwa fursa Mkuu, alafu kukimbia (kujiua) haikuwezeshi wewe kutatua tatizo (kumpata huyo msichana) bali unataka kuongeza tatizo.
N. Mandela anakwambia jambo likiwa bado halijatimia/ kufanikiwa huonekana haliwezekani. Mahusiano ni uwekezaji(investment) kama uwekezaji mwingine wowote. Hivyo unavoanzisha mahusiano yoyote lazima uwe na investment capital (mtaji) hapa tuna maanisha lasilimali PESA na MUDA pia, ukiwa na vitu hivi viwili plus MONITORING & CONTROL (USIMAMIZI) tegemea mafaniko lakini siyo lazima ufanikiwe. Sasa wewe umeweka PESA tu, Je vp kuhusu MUDA?. Lakini pia hakuna investment isiyo kuwa na risks, ukiyajua yote haya huwezi kufiria kujiua au kukimbia tatizo Mkuu, So jipe muda utafanikiwa hata kama siyo mwk huu.
Mwisho kabisa Mwanafalsafa Plato anasema "Love is a serious mental disease"...
I rest my case!
Hope umenielewa Mkuu!!!
Brooo vp tena mbona huwa nakuona upo very intelligent, imekuaje tenaLet him suicide him self, dunia inazidi kujaa kwa kasi ya ajabu so takataka kama hizi ziacheni ziwahi kuzimu zinajaza nafasi tu.
Au kama vp aombe viza aende mariopol Ukraine
Mkuu acha utani, sifanyi utani hapa iam very serious
Huo ushauri ni wa ki intelejensia dogoBrooo vp tena mbona huwa nakuona upo very intelligent, imekuaje tena
Pa12po Mkuu!!!Duuuuuhhhhh [emoji122].upo skillful brooo, Asante sana nitazishikilia falsafa zako
Kijana unaleta utani ??We tapeli, Lofa we
Unampaje demu hela tofauti na gest? Umezembea mwenyewe wewe kama vipi jinyonge tuPoleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.
Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.
Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante