Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Bado hujafa mkuu. Mi nikajua tayari uko na uncle Magu saizi unamuhadithia juu ya uzinduzi wa filamu yetu mpya bhana
 
Hakii na mimi nikudangie .hata ka milioni
 
Pole Sana mkuu acha usijinyonge mbona Huyo dada anakupenda. Anakupa muda tu akupime Kama unampenda kweli halafu wewe huo muda ndo unataka kujinyonga

Achana nae mkuu
Muache afe asilete ujinga, kutujazis servers tuu…
 
Tunazika hapa au tunasafirisha useme mapema sio unaondoka bila kusema halafu tunapandisha maiti kwenye gari inaleta vimbwenga mara gari igome kuwaka.
 
Tunazika hapa au tunasafirisha useme mapema sio unaondoka bila kusema halafu tunapandisha maiti kwenye gari inaleta vimbwenga mara gari igome kuwaka.
Dah [emoji22] broo nilikuwa nakuheshim sana
 

Nitakulipia gharama ya kununulia kitanzi!
 
Dah [emoji22] broo nilikuwa nakuheshim sana
Mkuu mimi nimetazama upande wa pili maana haya mambo mtu asiposema inasumbua raia tuliobaki.
Mkuu aya nakupa ushauri.
Achana naye yani ingekuwa kwa wenzetu huko anaweza hata kukufungulia mashtaka maana ashakwambia hakutaki kubali tu.
Binadamu huwezi kupata kila unachokitaka, kubali kukosa vitu vingine.
 
Hapo Sawa. Nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…