Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Nenda kamsemee kwao
 
hela na kukupenda hapo hamna uhusiano bro. hela ulmpa kwa mapenzi yako achana nae.
 
Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.
Imekuwaje ufanye huu uwekeaji, hukufanya upembuizi yakinifu kbl ya kuanza kuestablish mradi!
anywaya Mpange msafiri hata Morogoro mwambie mwende kwa vacation make sure una mu entertain vzr akubali mkifika huko ushamaliza wazee wa trip wanajua haya!!!
 
Sawa mkuu
 
Jamani jamani ebu acheni utani baaasiii
Achana naye wanawake wako wengi sana usichukue uamuzi wowote mbaya dhidi yako wala dhidi yake.Acha aonekane mjanja leo kesho atakutana na mjanja zaidi na kufanyiwa kitu mbaya hapo ndipo utaona anaanza kukurudia.
 
[emoji120][emoji120][emoji120] Siombi yamkute hayo. Mm namtakia mema tu
 
tafuta Jimbo lingine, wanaume hatuteseki namna hiyo mbususu ziko nyingi sana dunia
 
Back
Top Bottom