Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Tabu ya wanawake ndo hiyo, kwao Ukweli ni Mwiko, Uongo daima mbele,...
Kuna mmoja huko bushi katolewa Mahari, Harusi imepangwa Kakubali na anaona kabisa, Walivyompeleka Saluni hakurudi tena,

Baada ya harusi kuvurugika ndo anaonekana, Kuitwa ili wamuulize, anasema kiukweli huyu bwana alimpendea hela tu, lakini ana mtu wake anaempenda, kwa hiyo alikimbia kwa kuwa hataki kumilikiwa moja kwa moja.

Kwa hali kama hiyo Usimtoe mtu Duniani kweli? I swear, atakufa mtu.

Haijaisha, Itaendelea..........
Yeah sure [emoji1787]
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Hii hapo juu ndo point ya maana. otherwise mwanaume kuliwa pesa na mbususu usipate ni kati ya majukumu ya kujenga taifa. Wote semeni emeeeeen!!!
 
N kwamba unataka kujinyonga 😳, sawa jinyonge kila nafs itaonja umauti iwe kwa kujitakia au sku zmefka.

Lipa maden ya watu weka kila kitu saw kisha jinyonge, mbele yako nyuma yetu......Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
Unastahili kupata shida unazopata na msoto unaopata kitaa. Huna akili.!
 
N kwamba unataka kujinyonga [emoji15], sawa jinyonge kila nafs itaonja umauti iwe kwa kujitakia au sku zmefka.

Lipa maden ya watu weka kila kitu saw kisha jinyonge, mbele yako nyuma yetu......Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
Duh [emoji1787] [emoji1787]
 
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Hii hapo juu ndo point ya maana. otherwise mwanaume kuliwa pesa na mbususu usipate ni kati ya majukumu ya kujenga taifa. Wote semeni emeeeeen!!!
Duh [emoji1787]
 
Nilikuwa napigwa mizinga ya kusuka, Mala simu kioo kimekufa, Mala nguo hana, Mala simu imeibiwa, Mala hali ugali anataka chips kuku kila siku. Mwishowe nataka tunda akasema ananiheshm kama kaka angu hivyo tuwe kaka na Dada tu
Kubali kuishi naye kama rafiki anakupenda uyo utamla tu[emoji3][emoji106]
 
laki 5 yote umeliwaje na hujala utamu mzee?? pole ila ukiweza mpe fundisho kwa kujifanya mtu mwingine anza kumchatisha weka mtego mkutane hata hotel mnyooshe kama una hela haruki
Yeap anaonekana anatamaa ya hela nina uhakika akitumia hii njia nayo inaweza 98%
 
Back
Top Bottom