Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

Mwambie JokaJeusi anashauri hivi;

Usioe Mwanamke ambaye hana Bikra.
 
Niliingia mp trh 28/3 .,,, Nilisex tarh 13/4 .may 17 naenda utrasound naambiwa mimba inawiki 6 .....wakati kwa akili Kama za mtoa mada narafiki yake angesema mimba imeongezwa wiki 2 ...
Jaman ukipata kitu ebu tulia Kwanza uliza hata kwa wataalam...uzuri intarnet tunazo search uko jifunze
Sio kukimbilia kwa jiran kupata ushaur mbaya zaidi unakuta jiran nae kilaza mnajazana ujinga
 

Sasa kama alikula kitumbua kabla ya kufunga ndoa alikuwa anategemea nini.
 
Wengi hawatakuelewa kwasababu ni wajinga sana na wamechangia kwa mihemko! Very sad, wanamshauri amuache mkewe wakati hiyo mimba ni wazi kabisa ni jamaa mwenyewe. Hiyo difference ni ndogo sana na ipo sawa kabisa kutegemea mzunguko wa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu nashangaa watu wanampotisha eti amtoe hiyo mimba au amwache! Ni ajabu sana. Leo nimeamini JF sio mahali salama kutegemea ushauri! Wapotoshaji ni wengi kuliko wasema kweli na wenye kutumia hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu nashangaa watu wanampotisha eti amtoe hiyo mimba au amwache! Ni ajabu sana. Leo nimeamini JF sio mahali salama kutegemea ushauri! Wapotoshaji ni wengi kuliko wasema kweli na wenye kutumia hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeleta huu Uzi ndo siyo mwelewa,unaanzaje kuomba ushauri wa ndoa mtandaoni? Tena unaohitaji majibu ya kitaalamu? Kama alikua na wasiwasi angeenda hata hospital akamuuliza Dr angemuelewesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema kabla ya ndoa walikua hawagegedani?;siku hizi kabla ya ndoa wanashake before use,kamuulize kwanza bwana harusi ameanza kumgegeda bi harusi siku ya ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi siku hizi siku za hatari kwa mwanamke zimebadilika? Yaani mimba inaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya mwisho wa hedhi!?

Au mimi ndio sielewi! Msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…