Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

Hakuna uhusiano kati ya siku ya kufungwa ndoa na kupata mimba. Je kama walikuwa anagegedana kabla ya ndoa? Mimba kutungwa huwa haisubiri ndoa ifungwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa kwamba waTz bado tuna uelewa mdogo Sana katika mambo tunayokutana nayo kila leo. Sio mleta mada Tu, hata baadhi ya wachangiaji.

Vitu vya kukadiria vinatutoa ubinadamu, uanaume na kuanza kuwa wasema ovyo.

Mimba changa hivyo huwezi kupata exactly age kirahisi unless ulihesabu Tangu kipindi cha kutungwa.
Kutegemeana na urefu wa mzunguko WA hedhi wa mwanamke- mimba itakuwa na umri WA weeks 1.5 mpaka 3 zaidi ya muda WA kutungwa kwake. Na bado anayepima Kwa uss anaweza kuzidisha au kupunguza umri huo.
 
hivyo vipimo msiviamini mia kwa mia. Ampende tu mkewe. ajifanye kama hakuna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamndenyi, unaweza kutoa majibu rahisi kwa hoja nzito kama hiyo, huyo mwanamke aeleze kwanza mimba ya nani ?, unaweza kukuta unaanza kulea kitu sio chako, halafu mbaya zaidi wanawake walivyo wapuuzi atakuwa anaendelea na huyo jamaa aliyempa mimba, sijui ni kwa nini wanawake wanashindwa kujiheshimu..
 
Kwahiyo mmekosa Marafiki,ndugu,wazazi,mshenga ndo mkaja huku?

Kuna baadhi ya mambo mtu anayaleta hapa mpaka unajiuliza uanaume wake kama uko sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini!

Niende kwenye mada.

Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2.

Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho nami kimenistua hadi kufikia kuomba msaada wa haraka humu ni kuwa ameenda na mke wake leo zahanati kumpima, baada ya kumuona hamuelewi elewi. Alimpima vipimo vyote, malaria na mimba. Kilichomshangaza ni kuwa mke ameonekana ana mimba ya mwezi mmoja na wiki tatu.

Alichonihoji: Je, atende lolote analoweza? (nafikiri mmenielewa hapa) Je, amwache? Akifanya hivyo aibu itakuwa ya nani hapa, mke au yeye? Awaite wazazi kusikia; watasemaje?

Kiufupi unaombwa msaada wa mawazo wa namna bora ya kulikabili jambo kama hili.

Mwenyewe jambo limenizidi maarifa, nilijifanya kumsihi atulie hadi nitakaporudi mizunguko yangu saa 2 usiku nitaongea naye kwa kirefu; ilifanya hivyo ili niweze kupata wasaa wa kuomba msaada humu wa kimawazo. Nimeileta humu hii mada sababu najua yeye hayupo humu.

Karibuni wadau!
Mke apigwe suspension hadi akijifungua, majibu ya DNA ndo yamrudishe au yamtoweshe kabisa
 
Mwambie hivi apige chini huyo mambo ya aibu ni ya muda mfuoi tu ....kuliko kulea uovu

Sent using i phone x
 
Habarini!

Niende kwenye mada.

Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2.

Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho nami kimenistua hadi kufikia kuomba msaada wa haraka humu ni kuwa ameenda na mke wake leo zahanati kumpima, baada ya kumuona hamuelewi elewi. Alimpima vipimo vyote, malaria na mimba. Kilichomshangaza ni kuwa mke ameonekana ana mimba ya mwezi mmoja na wiki tatu.

Alichonihoji: Je, atende lolote analoweza? (nafikiri mmenielewa hapa) Je, amwache? Akifanya hivyo aibu itakuwa ya nani hapa, mke au yeye? Awaite wazazi kusikia; watasemaje?

Kiufupi unaombwa msaada wa mawazo wa namna bora ya kulikabili jambo kama hili.

Mwenyewe jambo limenizidi maarifa, nilijifanya kumsihi atulie hadi nitakaporudi mizunguko yangu saa 2 usiku nitaongea naye kwa kirefu; ilifanya hivyo ili niweze kupata wasaa wa kuomba msaada humu wa kimawazo. Nimeileta humu hii mada sababu najua yeye hayupo humu.

Karibuni wadau!
Dah mkuu, kwahiyo unataka msela aanze na ndoa yenye masononeko wakati akimuacha hana cha kupoteza. Huyo amuache hakuna lingine la zaidi. Tena bora ameonyeshwa namna mke wake alivyo mbwa mapema kabisa! Jibu ni moja tu ACHA!
 
Duh... Kwahiyo wanaume wasiojua mzunguko wa hedhi za wake zao ni wapuuzi?
Sometimes wanaume ni wapuuzi sana inakuta ati mtu ana mchumba hajui hata mzunguko wake wa hedhi, yupo tu.
Mtu kweli unampenda, si lazima ufatilie? Unaweza muuliza baby mwezi huu ushaingia period? Au unaingia lini?

Mtu unafika mpaka kuoa hujui vitu vya msingi kuhusu mkeo? Sometimes natamani kuwachapa hata viboko nyie vijana na nyuzi zenu za kipuuzi, mtu hujui period ya Mke hutaweza kupanga mtoto gani mzae?

Kama kashindwa kuwa makini kabla asubiri mtoto azaliwe apime DNA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom