- Thread starter
- #81
naamni wapo washauri wazuri tu humuKuomba ushauri wa ndoa kwenye mitandao hakujawahi kuiacha ndoa salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
naamni wapo washauri wazuri tu humuKuomba ushauri wa ndoa kwenye mitandao hakujawahi kuiacha ndoa salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, ningejitokeza bila wasiwasiKwanza jamaa mwenyewe ni wewe tuanzie kwanza hapo
Sent by Diaspora
Mimi napenda tu hilo jina!That's ma name, niambie Behaviourist.
Apambane na imani yakeni kutokana na imani yao ya kiislamu......taratibu za kiimani ya kiis;amu hutakiwi kuchelewesha ndoa wenyewe wakisharidhiana
Ni kweli kabisa lakini ujue mtu kukusaliti sio lazima awasiliane kwa simu. Kwa hiyo bado hutokuwa 100% safeHizi ndoa hizi, nikimhack mtu wangu wanapiga kelele. But that is the only option to me kuwa safe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndoa inabidi iendelee kuwepo hata kama mke atabeba mimba nje sio??Kitanda hakizai haramj. Aache ujinga alee mtoto.ndoa sio lele mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Match kabla haijaanza aggregate (1-0), hapo atagemee fainali uzeeni 5-0
Chukua ushauri huu...mimba ni yake!Kama mwanamke kamaliza MP ya mwisho tarehe 10 akaja kupata mimba tarehe 29 , hospital wanaanza kuhesabu kwanzia tarehe 10 na sio 29. Hivyo ukianza wewe kuhesabu tarehe 29 unaweza hisi mkeo alidanganya.
Umeongea ukweli kabisa maaumuzi ni kumpiga chini tuNIMEONA Kama jamaa yako alikuwa hajala tunda hata kwa kimasihara sihara ni heri.amteme tu huyo mwamke! Kajiharibia mwenyewe. Akiwasikiliza wazazi watamwambia kitanda hakizai.haramu na aliyemtundika mimba ataendelea kumla ili "mbegu zake ziendelee kulea hiyo mimba"
Sent using Jamii Forums mobile app