Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Ukipata mwanaume ambaye sio mwelewa inabidi daktari ndio amwelekeze inavyokuwa.Halafu huu utaratibu naona kama haufai vileee.... Kwanini iwe hivi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mwanaume ambaye sio mwelewa inabidi daktari ndio amwelekeze inavyokuwa.Halafu huu utaratibu naona kama haufai vileee.... Kwanini iwe hivi??
Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo vipimo msiviamini mia kwa mia. Ampende tu mkewe. ajifanye kama hakuna lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumba miezi 4? Alikuwa ana haraka gani na ndoa? Pole yake..alee mtotoanasema aliwahi lakini ni miezi kama 5 iliyopita, uchumba umedumu miezi 4.....hawajawahi kukutana katika kipindi hicho chote!
Wanaume wa siku hizi ni ......hatar kweli.Tatizo letu sisi wabongo ni kukosa kumuamini mkeo. Unaenda kumtangaza mkeo kwa watu na haswa walio karibu na weye ati kaliwa, kaliwaaaa. Hii ni laana. Hivi wanaume tungekuwa tunachorwa mistari hata ka ni myembamba usoni, huoni wengine tungesha fikia miguuni?
Mheshimu mkeo, na kamwe usitoe siri zako za ndani. Usimwonee shaka ati kwa kuwa hukumkuta bikra. Kwani weye ulikuwa bikra?? Kwani ulionyeshwa mahali pale pa kutumbukiza fimbo lako? Sasa ka weye nawe ulishakula vya watu mbona sasa unaanza kukasirika kukuta na yako ishaitwa "Used?"
Ushauri;
Mkaripie tena kwa ukali kabisa. Mwambie3 kitanda kamwe hakizai haram. Zmtunze mkewe tena aanze kumnunulia udongo wa kichuguu ili toto limfanane. Tena mwambie ni marufuku kumsema vibaya mkewe. Angojee ka hiyo si yake kakitoka hako katoto aweke hapo cha kwake
Kwan kabla ya ndoa alikua hajakutana nae kimwili tuanzie hapohabarini! niende kwny mada,
jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita......ilikuwa tarehe 2.
leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani, akiwa amefadhaika mno! nilistuka!! alichonieleza na ambacho nami kimenistua hadi kufikia kuomba msaada wa haraka humu ni kuwa ameenda na mke wake leo zahanati kumpima, baada ya kumuona hamuelewi elewi....alimpima vipimo vyote, maralia na mimba. kilichomshangaza ni kuwa mke ameonekana ana mimba ya mwezi mmoja na wiki tatu!!!!!
alichonihoji; je, atende lolote analoweza (nafikiri mmenielewa hapa!)?
je, amwache? akifanya hivyo aibu itakuwa ya nani hapa? mke au yeye?
awaite wazazi kusikia watasemaje?
kiufupi unaombwa msaada wa mawazo wa namna bora ya kulikabili jambo kama hili.
mwenyewe jambo limenizidi maarifa, nilijifanya kumsihi atulie hadi nitakaporudi mizunguko yangu saa 2 usiku nitaongea nae kwa kirefu....nilifanya hivyo ili niweze kupata wasaa wa kuomba msaada humu wa kimawazo. nimeileta humu hii mada sababu najua yeye hayupo humu!
karibuni wadau!
Kuomba ushauri wa ndoa kwenye mitandao hakujawahi kuiacha ndoa salama.Kwa sehemu kubwa hiyo mimba ni yake. Umri wa mimba huhesabiwa kuanzia tarehe ya mwisho kuona siku zake mwanamke. Na sio siku aliyolala na mume.
Suala la pili ni kuwa, kama walitumia ultrasound, nayo pia huweza kuwa mbele ya muda au nyuma ya muda. Asimsingizie uzinzi binti wa watu. Kama ànaona sio wake, asubiri azaliwe na kisha mtoto akikua ataambiwa baba yako aliwahi kukukataa ukiwa tumboni.
Pia, humu watu hawana hata ndoa wala hawana uzoefu mambo ya uzazi lkn wamekimbilia kutoa ushauri! Mnaweza vunja ndoa, kama huna weledi wa suala fulani sio lazima kuweka comment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sio rahisi kihivyo, na DNA hawataweza kutoa majibu negative eti kwamba sio baba, mtoto wampe nani na alelewe na nan??? Labda kama wangekuwa wababa wawili wanagombania mtoto
Waache wapige tu kelele.. me kila demu wangu lazima nimdukue... siyo siku naletewa magonjwa ndani halafu nabaki nashangaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndoa hizi, nikimhack mtu wangu wanapiga kelele. But that is the only option to me kuwa safe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wapige tu kelele.. me kila demu wangu lazima nimdukue... siyo siku naletewa magonjwa ndani halafu nabaki nashangaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usha**mbewa mkuu, pole sana haya mamb huwa ni siri, piga moyo monde.habarini! niende kwny mada,
jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita......ilikuwa tarehe 2.
leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani, akiwa amefadhaika mno! nilistuka!! alichonieleza na ambacho nami kimenistua hadi kufikia kuomba msaada wa haraka humu ni kuwa ameenda na mke wake leo zahanati kumpima, baada ya kumuona hamuelewi elewi....alimpima vipimo vyote, maralia na mimba. kilichomshangaza ni kuwa mke ameonekana ana mimba ya mwezi mmoja na wiki tatu!!!!!
alichonihoji; je, atende lolote analoweza (nafikiri mmenielewa hapa!)?
je, amwache? akifanya hivyo aibu itakuwa ya nani hapa? mke au yeye?
awaite wazazi kusikia watasemaje?
kiufupi unaombwa msaada wa mawazo wa namna bora ya kulikabili jambo kama hili.
mwenyewe jambo limenizidi maarifa, nilijifanya kumsihi atulie hadi nitakaporudi mizunguko yangu saa 2 usiku nitaongea nae kwa kirefu....nilifanya hivyo ili niweze kupata wasaa wa kuomba msaada humu wa kimawazo. nimeileta humu hii mada sababu najua yeye hayupo humu!
karibuni wadau!
Acha ujinga mkuu.Tatizo letu sisi wabongo ni kukosa kumuamini mkeo. Unaenda kumtangaza mkeo kwa watu na haswa walio karibu na weye ati kaliwa, kaliwaaaa. Hii ni laana. Ajue watu humcheka kwani hawezi kumuacha. Hivi wanaume tungekuwa tunachorwa mistari hata ka ni myembamba usoni, huoni wengine tungesha fikia miguuni?
Mheshimu mkeo, na kamwe usitoe siri zako za ndani. Usimwonee shaka ati kwa kuwa hukumkuta bikra. Kwani weye ulikuwa bikra?? Kwani ulionyeshwa mahali pale pa kutumbukiza fimbo lako? Sasa ka weye nawe ulishakula vya watu mbona sasa unaanza kukasirika kukuta na yako ishaitwa "Used?"
Ushauri;
Mkaripie tena kwa ukali kabisa. Mwambie kitanda kamwe hakizai haram. Amtunze mkewe tena aanze kumnunulia udongo wa kichuguu ili toto limfanane. Tena mwambie ni marufuku kumsema vibaya mkewe. Angojee ka hiyo si yake kakitoka hako katoto aweke hapo cha kwake