Atafute course nyingine AEA hawezi kupata hata mimi nipo naisima hiyo tumeingiaa wa mwisho ana 2.10
kaka kwa matokeo ya mwaka huu pia kupata ni ngumu?...si unajua shule kama jitegemee.makongo, majengo,mawezi,malangali,kibosho girld,meta na ngingine nyingi hazina divion one, na miaka ya nyuma zilikuwa zina pata wani zaido ya 70 kwa kila shule? anyway ni course gani nzuri anaweza soma hapo sua?
Kwan izo zikiwa na one watu wa shule nyingne hawasomi!???
Yahh uwezekano upo maana vyote vina uhusiano...na kama uko moro ingia sua au angalia web yao na tcu guidebook...Je kama mm niliyemaliza diploma ya financial administration naweza kusoma agribusiness.
Sio kweli!!hizo ni shule kwa ambazo huwa zina wanafunz wengi kuliko shile zote tz mfano majengo, makongo, jitegemee,meta,jamuhuri na malangali. huwa zinatoaga dvn one nyingi sana, kwa shule kama hizi kukosa dvn one mwaka huu na nyingine nyingi inapunguza ushindani, sizani kama mwaka huu dvn one zinafika eflu moja tz nzima
ndg udom hawachukui div 3 haswa ktk masomo ya busness studiesmwambie aombe B.com udom awezi kukosa
ndg udom hawachukui div 3 haswa ktk masomo ya busness studies
hizo ni shule kwa ambazo huwa zina wanafunz wengi kuliko shile zote tz mfano majengo, makongo, jitegemee,meta,jamuhuri na malangali. huwa zinatoaga dvn one nyingi sana, kwa shule kama hizi kukosa dvn one mwaka huu na nyingine nyingi inapunguza ushindani, sizani kama mwaka huu dvn one zinafika eflu moja tz nzima
wana Jf na ndugu yangu amameliza form six, HGE..amepata H=D G=D E=D na Gs=F...anataka kusoma agro-business SUA, anaomba ushauri..je hii course ina lipa katika soko la ajira! je ataweza kupata kweli kwa matokeo haya?...je anaweza soma course nyingine za business kwa matokeo haya? nimemshauri aombe education lakini anapenda course za biashara hasa hiyo agro business....
naombeni ushauri wenu wana Jf