Naombeni ushauri wadau hasa wanao hifaham course itwayo Agro-business.....

Atafute course nyingine AEA hawezi kupata hata mimi nipo naisima hiyo tumeingiaa wa mwisho ana 2.10
 
kaka kwa matokeo ya mwaka huu pia kupata ni ngumu?...si unajua shule kama jitegemee.makongo, majengo,mawezi,malangali,kibosho girld,meta na ngingine nyingi hazina divion one, na miaka ya nyuma zilikuwa zina pata wani zaido ya 70 kwa kila shule? anyway ni course gani nzuri anaweza soma hapo sua?
 
SUA atapata, ila mwambie akue kifikra aachane na habari ya ajira. Kama ni hivyo anataka agribusiness ya nini? Kama hawezi kujiajili akasome administration CBE.
 
Kwan izo zikiwa na one watu wa shule nyingne hawasomi!???
 
poa mkuu thanks for your positive mind.
 
Kwan izo zikiwa na one watu wa shule nyingne hawasomi!???

hizo ni shule kwa ambazo huwa zina wanafunz wengi kuliko shile zote tz mfano majengo, makongo, jitegemee,meta,jamuhuri na malangali. huwa zinatoaga dvn one nyingi sana, kwa shule kama hizi kukosa dvn one mwaka huu na nyingine nyingi inapunguza ushindani, sizani kama mwaka huu dvn one zinafika eflu moja tz nzima
 
Je kama mm niliyemaliza diploma ya financial administration naweza kusoma agribusiness.
Yahh uwezekano upo maana vyote vina uhusiano...na kama uko moro ingia sua au angalia web yao na tcu guidebook...
 
hizo ni shule kwa ambazo huwa zina wanafunz wengi kuliko shile zote tz mfano majengo, makongo, jitegemee,meta,jamuhuri na malangali. huwa zinatoaga dvn one nyingi sana, kwa shule kama hizi kukosa dvn one mwaka huu na nyingine nyingi inapunguza ushindani, sizani kama mwaka huu dvn one zinafika eflu moja tz nzima
Sio kweli!!
 
Mhh...unaongelea one 1000???....hahaahaaa mwaka huu kuna division one 325 tu.....wanaume 188 na wasichana kama 130 na ushee hivi....iyo nilisoma gazeti la mwanachi......kwa jinsi ilivyo mwaka huu ni kuapply tu ushindani mdogo kwani wengi wako na div 3 ya 14 na kuendeleea
 
wana Jf na ndugu yangu amameliza form six, HGE..amepata H=D G=D E=D na Gs=F...anataka kusoma agro-business SUA, anaomba ushauri..je hii course ina lipa katika soko la ajira! je ataweza kupata kweli kwa matokeo haya?...je anaweza soma course nyingine za business kwa matokeo haya? nimemshauri aombe education lakini anapenda course za biashara hasa hiyo agro business....
naombeni ushauri wenu wana Jf

omba ya kwanza mdogo wangu...
wasikutishe chochote
wewe weka ya kwanza compition ndiyo itakayo amua
hapo mbona hzo cutoff point zako nyng sana
sita nzma
umekosa za gs tu hapo o.tano
 
Back
Top Bottom