Naombeni ushauri wadau

Naombeni ushauri wadau

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
 
Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje

Hiyo Kazi Kama unahisi itamshushia heshima baba yako achana nayo kwanza maana itaweza kukueletea mkanganyiko huko mbele.
 
Back
Top Bottom