unaweza anza mahusiano kama yule mwingine unaona hafai Ila kwa mfumo huuNimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
ndo wewe friji umejaza watermelon.....unajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
mkuu huyu ana matango ndani wala asikusumbue kichwaYaani sijui tumekukosea nini wewe miss!
ndo wewe friji umejaza watermelon.....
ndo wewe friji umejaza watermelon.....
kumbe tango ndo watermelon eehmkuu huyu ana matango ndani wala asikusumbue kichwa
Unaenda wapi bila kuniaga?!NGOJA NILILAZE KESHO NASAFIRI MKUU ENDELEENI NA MAISHA YENU NYIE SI MNAJIONA WAJANJA TUMEWAACHIA MIOYO YENU NA NYIE MTUACHE NA YETU
Ndio visa vyake ivyooIkawaje baada ya hapa
Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba
Binti husomeki
Hii ni kwa wanaume wenye vifua
Aiseee
Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali
sijui wanapata faida gani na story zao za uongo
Tena baadhi anavyo vingi tuNdio visa vyake ivyoo
Sio wote sema baadhi ulishatuona sisi tunaleta post za utumbo zisizokua na kichwa wala miguumh!mbona wanawake wa jf ndo mulivyo?nenda love connect ukkajionee vituko!!!!!!
Broo nzuri hiiiIkawaje baada ya hapa
Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba
Binti husomeki
Hii ni kwa wanaume wenye vifua
Aiseee
Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali
Me ni female aseeBroo nzuri hiii
Mama sisi wanaume wacha tuitwe wanaume maana tukidhamiria kumpata demu hata awamu mbili za maraisi zaweza pita na tukavumilia na usumbufu wako cku ukikubali tu kuvua chupi imekula kwako.Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Me ni female asee
unamaana anajifunga mabomu au anapiga "PUCHU" π π πAnajilipua[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yawezekana [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]unamaana anajifunga mabomu au anapiga "PUCHU" π [emoji14] π
Hahahah.... basi sawaYawezekana [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]