mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
AyaHahahah.... basi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AyaHahahah.... basi sawa
ndio maaana umenenepaunajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
wachache wenye kulitambua ulilosema. big up mkuuWanawake tufikie mahali tujitambue Sasa
Hata aibu hujionei?
Utadanki danki kwenye mahusiano had lini?
Me nakushauri ungepumzika kwanza
Akikutenda tena utakuja kulialia
Please know your worth
Iweke tu tutakua pamoja kuwanyoosha wasiojitambua mwanamke ukijitambua hadi raha yan unaelewa nn unataka nn hulitakiwachache wenye kulitambua ulilosema. big up mkuu
wakati mwingine nataman niweke kitchen part maana wanatutia aibu
best dougiemasta kaumbuliwa leo@Miss Natafuta@Nifah@mamaa facebookSio wote sema baadhi ulishatuona sisi tunaleta post za utumbo zisizokua na kichwa wala miguu
weka kuna watu wanatufanya tunaonekana wote ndio walewalewachache wenye kulitambua ulilosema. big up mkuu
wakati mwingine nataman niweke kitchen part maana wanatutia aibu
Nimeona mpnz hivi n yy kwelibest dougiemasta kaumbuliwa leo@Miss Natafuta@Nifah@mamaa facebook
Nini mamaa[emoji15]
anaweza kua yy maana kwa kupaniki kule hatariiNimeona mpnz hivi n yy kweli
anaweza kua yy maana kwa kupaniki kule hatarii
kapanic hatar anazuga tuanaweza kua yy maana kwa kupaniki kule hatarii
Ha haa hiyo I'd ya huyo bibie tu imentoa mimacho...Nini mamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu acha tu.View attachment 446048View attachment 446049View attachment 446050ngoja mwenye uzi wake aje atufukuze ila umbea popote bana
wanazuga tu bwana..Si alisemaga siku moja akatoa clue kua Dada aka anaitwa faridakapanic hatar anazuga tu
Ikawaje baada ya hapa
Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba
Binti husomeki
Hii ni kwa wanaume wenye vifua
Aiseee
Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali
Ikawaje baada ya hapa
Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba
Binti husomeki
Hii ni kwa wanaume wenye vifua
Aiseee
Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nitacheka tukifukuzwa kwenye uzi wa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu acha tu.
atufukuze tu ila habari zishafika
Anhaaa... kumbe uko huku enh?? Ole wako leo tena unlishe mboga iliyoungua.wanazuga tu bwana..Si alisemaga siku moja akatoa clue kua Dada aka anaitwa farida
yeah nakumbuka iyo siku alikua na hasira aligombana na rafk yake mmoja alimwambia atamtolea siri zakewanazuga tu bwana..Si alisemaga siku moja akatoa clue kua Dada aka anaitwa farida