Naombeni ushauri wanaume jf

Naombeni ushauri wanaume jf

haswaaa, wanani let down kweli hawa viumbe. au tusubiri shule zifunguliwe tuone kama ndo mtindo huu naweka kitchen party ya bureeeee
eb tusubili wakifungua shule tuone
 
Kweli kabisa mumy. Inatakiwa ifikie kipindi wanawake wenye id za kike na wenye jinsia ya kike kweli tushikamane ili tuwakomeshe hawa wanaume wasioisha kutudharau kila kukicha kutokana na baadhi ya wanawake kushindwa kushughulisha akili katika kufanya maamuzi.
well said
 
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
Tafuta pesa,achana na mapenzi
 
Mshirikishe Mungu... Vitu vingine havionekani kwa macho.... Ni vya kiroho.... Na mpaka uwe rohoni ndio utaona na kuelewa....!!!! Nafikiri umenielewa bibie...!!!
 
Mama Jaden n hawara ya Rommy Jones au yupi?

Nimeona Dougie Na Mily full maneno kunani Leo nilikamatika
Mmh hizo screenshots nilizopost haujazisoma mama jaden sio huyo wa rommy ni mdada anaitwa hawa ndio milly anasema ndio dougie sasa dougie anatoa povu anasema sio yy watu wanasema kama sio yy mbona kapanic sana angekaa kimya
 
Nimeona nimepitia chap chap Dougie Na Milly haiziivi ever since sakata la Milly Na Mange so Leo dizaini Milly kalipiza
 
yes toka sakata la mange na milly kasema sbbu dougie alikua anashangilia kwahiyo ugomvi wao hauishi unaendelea ila milly anawatesa wale vichaa wawili hawana raha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] those who do you wrong will eventually face their own karma
 
Na usimdharau usiemjua siku zote hivi nasikia mange n shemale?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_2016-12-14-22-28-51.png
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiyo ya ushemale wanamsingizia si kweli
 
Back
Top Bottom