Naombeni ushauri wanaume jf

Naombeni ushauri wanaume jf

Vp mzigo ushampa?
Na je unaionaje shughuli yake?
Mana msaada mwingine lazima tujue pakuanzia?
 
unajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
KWA hiyo unajichua
 
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.

anzana nae
 
Mtoa mada hata ukimuacha uliyenae ukienda kwa mwingine utaumia pia kwasababu inawezekana machukizo unayopata na wewe umechangia.
Ni hivi: Invest in yourself. Jipende na jiamini. Jipende kiasi kwamba uwe the source of your own happiness hata mtu akikukwaza utaumia but at the end of the day haondoki na furaha yako coz you are your own happiness.
Jiamini kua u do not need someone to hold your hand ili uweze kitu flani. Kua independent. No matter how much advice someone may give or influence they have on you wewe ndio uamuzi was mwisho wa maisha yako.
People come and go in your life but kuepuka kuumia make your own happiness na kujiamini.
Kwa hivyo hata akija mtu utampenda coz unajua upendo ukoje ndani yako.
Kusubiri au kuanza kua nae ni uamuzi wako wewe ila ni vizuri kupata break ili uangalie nini kilikuumiza na nini unataka in your next relationship.
Wengine tumejifunza the hard way but it's worth it. All the best!
 
Ckia tafuta hii movie temptation confession of a marriage counselor utaelewa unachotaka kufanya
 
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
 
Pumzika nae huyo nae unamuona hivo bado hujawa nae watu hubadilika usimuamini mtu kirahisi
 
Back
Top Bottom