Naombeni ushauri wenu kwenye hili

Ni vitisho tu onyesha msimamo wako

Pia usiingie kwa mahusiano ya haraka ili kumkomoa yeye

Akizidi ripoti kituo cha polisi achukuliwe hatua dhidi ya vitisho vyake
 
si anasema atakuja ofisini kila siku.... niruhusu na Mm nije Ofisini kwako kila siku kana Mwanaume wako... pia niruhusu kumsulubu... hii kazi ntafanya bila malipo... ni moyo tu
 
Mpe jamaa mzigo jamaa anataka mzigo wee mpe tu mkuu akishapiga atasepa mwenyewe utabaki huru. Pengine una sura ya mzee wako ndio maana alikukataa mwanzo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila wewe jamaa hapana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Achana nae kwanza hana huruma ki asili anaroho mbaya huko aliko kishatendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ