Ni kweli ila Dar matumizi ni makubwa saana Dar unaweza kupata elfu 15 ukatumia elu 10Mbona wanasema Dar ndiyo pa kutobolea mkuu,Duka la vipodozi
Seat ya mbele.Mbona wanasema Dar ndiyo pa kutobolea mkuu,Duka la vipodozi
Bas nenda Arusha,afu hao tegemezi itakuwaje sasa🤔Ni kweli ila Dar matumizi ni makubwa saana Dar unaweza kupata elfu 15 ukatumia elu 10
😉Seat ya mbele.
Akakutane na waduduuUnataka kwenda Arusha kujitafuta au kujipoteza?
Kwa nini?Unataka kwenda Arusha kujitafuta au kujipoteza?
Mkuu ulikuwa USAID nini? Anzisha kilimo cha tikiti maji na mayai ya kware.Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu naweza kupata tena kazi na mimi mpango wa kuajiriwa sina tena na wala sitaki..
Naombeni ushauri wenu nifanye biashara gani na hyo 1.3million nawaza kwenda Arusha nikajitafute upya kwa sasa Naishi Dar
Tutasaidiana na mzee sema sitaki wazazi wajue kuwa nimepoteza kazi watakufa na preshaBas nenda Arusha,afu hao tegemezi itakuwaje sasa🤔
Kutobolea unaelewa hilo neno kutobolea linamaanisha nini au huelewi ueleweshwe?Mbona wanasema Dar ndiyo pa kutobolea mkuu,Duka la vipodozi
Umeacha au umefukuzwa? Nijibu nikupe plan C usidharau swali languTutasaidiana na mzee sema sitaki wazazi wajue kuwa nimepoteza kazi watakufa na presha
Ndio nina ujuzi huo mkuu nafanya software kama uko interested njoo PMWeka 1ml sehemu anza kuzungusha upate hata 300 kwa mwezi kwanza.
Pili software. Unatoka. Ndugu, embu tafuta fursa. Hata mimi nimekutamani uliposema una ujuzi huo. Ukiweza hata mimi nikutumie boss tukunje noti, embu angalia fursa binafsi kupitia ujuzi wako.
Inawezekana mkuu?Ongea vizuri na hao NSSF muahidi hata 2000000 akifanikisha kuitoa hiyo pesa mapema. Ili waharakishe mchakato
Nimepunguzwa kaziniUmeacha au umefukuzwa? Nijibu nikupe plan C usidharau swali langu