zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mkuu emu toa maelezo software siku hizo zimerahisishwa kiasi kwamba kuna madogo hawana hata ujuzi wa computer ila wanatengeneza software, kazi umeacha au umefukuzwa?N
Ndio nina ujuzi huo mkuu nafanya software kama uko interested njoo PM
Yaan umefukuzwa kaziNimepunguzwa kazini
NdiooYaan umefukuzwa kazi
Ha ha ha kule ndo home mkuu nimekulia kulePole kwa kupoteza kazi mkuu ila usiende chuga utaishia kuvuta kaya.
Ndio mkuuSema ghafla sana, haukujiandaa mkuu?
Kabla hujafanya chochote jipe mda kwanza wa kutafakari usifanye mambo kwa kukurupuka hata km kilichotokea kimekupa jeraha kiasi gani kwa hio hio million yako na points usiitumie ihifadhi sehemu salama huku ukiwa unatafakari nini cha kufanya, na ukitaka upate ushauri mzuri juu ya nini cha kufanya tafuta watu wanaofanya waombe ushauri watakushauri vizuri, yangu ni hayo tu mkuuNdioo
Sio mbaya. Ngoja tuone madini ya wachangiaji.Ndio mkuu
Naomba nikufuate PMHapo nssf ukiwa na connection unachukua mpunga wote. Tafuta inside man muahidi % pesa inatoka.
FIC ukiweka 1.3M kila siku unadownload not less than 100k per dayDaah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu naweza kupata tena kazi na mimi mpango wa kuajiriwa sina tena na wala sitaki..
Naombeni ushauri wenu nifanye biashara gani na hyo 1.3million nawaza kwenda Arusha nikajitafute upya kwa sasa Naishi Dar
Mkuu, wazazi ndo kila kitu kwako, waambie ukweli angalia mwenye moyo mgumu ambaye hata panic haraka umwambie ukweli kisha yeye ndo ataangalia namna ya kumwambia mwenzakeNimepunguzwa kazini
Msimu wa uchaguzi huu, sio rahisiHapo nssf ukiwa na connection unachukua mpunga wote. Tafuta inside man muahidi % pesa inatoka.
Kwahyo unataka rudisha mpira kwa kipa kama chasambi?Ha ha ha kule ndo home mkuu nimekulia kule