Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

Nashukuru kwa Uzi huu Nina imani utanisaidia sana
 
Fanya mazoezi ya kukaza mikono na kupunguza ilo tumbo na kulikaza
 
Best kama mimi
Yaani nimeshangaa nimefumuka ghafla
Mwili umekuja bila sababu ya msingi.

Mie nimeanza mazoezi na diet kwa mbaaali
Nimeshapunguza kg 3
Bado nakazana
 
Au fanya hivi nunua extravirgin olive oil+coconutoil+mustardoil+lemon essential oil changanya kwa pamoja uwe na tabia ya kujikanda na hayo mafuta eneo husika
 
Best kama mimi
Yaani nimeshangaa nimefumuka ghafla
Mwili umekuja bila sababu ya msingi.

Mie nimeanza mazoezi na diet kwa mbaaali
Nimeshapunguza kg 3
Bado nakazana
Umenipa moyo kumbe inawezekana kabisa, nitaanza diet, mazoezi, na kula vyakula pendekezwa nadhan nami nitafanikiwa, shukrani
 
Umenipa moyo kumbe inawezekana kabisa, nitaanza diet, mazoezi, na kula vyakula pendekezwa nadhan nami nitafanikiwa, shukrani
Kila la kheri
Pia inaweza kuwa ndani ya akili zaidi
Amini utapungua
Ijenge picha ya unavyohitaji kuwa
Usikatishwe tamaa na neno la mtu.
 
Sidhani Kama ulifunga tumbo ulipojifungua, maana usipofunga mara nyingi madhara yake ni hayo,
 
Pakua hii App "30days workout "....itakusaidia
Panama option ya mazoez ya tumbo name mikono... Although zipo name nyingine ila chagua unayotaka kufanyia kaz
 
Si jambo la ajabu, ni dalili kuwa umri umeanza kukutupa mkono, lazima uyakubali mabadiliko, nadhani unayakumbuka matiti yako wakati unavovunja ungo jinsi yalivyokuwa yamesimama vyema na imara kama kifuu cha nazi, bila ya shaka hali hiyo haipo tena. Kwa ufupi hayo Ndio mabadiliko yanyoendana na umri, muda si mrefu utaona mabadiliko ktk maeneo yanayozunguka macho yako, usishangae bali yapokee tu.

Pendelea kula vyakula vinavyojenga mwili mara kwa mara ( matunda na mboga mboga) vitakusaidia kuimarisha ngozi yako isilegee sana. Pia fanya mazoezi ya kutembea kwa miguu angalau nusu saa kwa siku. Ukitembea 1hr itapendeza. Pia posheni yako ya chakula kila unapokula hakikisha inakuacha ukiwa bado unatamani kula ( iache tumbo wazi japo kidogo).

Jioni unapolala usile hadi kushiba. Unaweza kunywa maji na sambusa moja au mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…