Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

Pakua hii App "30days workout "....itakusaidia
Panama option ya mazoez ya tumbo name mikono... Although zipo name nyingine ila chagua unayotaka kufanyia kaz
Nilipakua hii app nikavamia zoezi kwa siku ya kwanza mbona kesho yake ilikuwa hata kunyanyua mkono mmoja tu shida,mwili wote ulikuwa unaumwa kama nini, ila nashukuru nimeanza kuyazoea kidogo kidogo
 
Haya mabadiliko yameniijia ghafla ndo maana nashangaa[emoji1] [emoji1] ,
Lakini haina jinsi na Mimi nimeona kabisa naukaribia uzeee inabidi nikubaliane na hali
 
Nilipakua hii app nikavamia zoezi kwa siku ya kwanza mbona kesho yake ilikuwa hata kunyanyua mkono mmoja tu shida,mwili wote ulikuwa unaumwa kama nini, ila nashukuru nimeanza kuyazoea kidogo kidogo
oooh pole

Anza na ile nyepes Kwanzaa... Ni kweli inauma jitahd tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…