maryam mohamed
Member
- Mar 10, 2014
- 5
- 0
Mimi ni msichana wa umri 21 nafanya kazi oman nimetokea kumpenda kijana mmoja ni rafiki yangu but nashindwa ni vipi nimuambie how i feel for him niliwahi kumuuliza kuhusu love akasema anapenda sana sexy na anahitaji kuwa na girlfriend for sexy or not more na mi nampenda sana cause he the love in my dream nisaidie nifanye nini nimuambie au niendelee kuwa na mawazo juu yake