Materu materuni
Member
- Jul 23, 2013
- 97
- 5
Mimi ni mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayari kila sehemu tumepitishiwa barua kwa DED na DEO. Je, hatua gan inafuata baada ya hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayar kila sehem tumepitishiwa barua yan ded na deo je hatua gan inafuata baada ya hapo
Mwl Materu materuni vuta subira walimu wenzako akina @oilsumu muda si mrefu watakuja kukujuza...alafu jaribu kusahihisha baadhi ya maneno katika maelezo yako kwa sababu wahuni wakija watakushusha viwango kwa msemo wa "walimu wa mulugo na big result"
kukosoana ni njia pia ya kumwelewesha mtu!
Ushauri wangu uendelee na ualimu kwa muda ukusanye fedha kiasi flan then iwe ni capital kwako uanzishe biashara au aina yeyote ya ujasiriamali , biashara ikichanganya acha ualimu as soon as possible ... unaweza kufanya biashara huku unaendelea na ualimu but its not rational biashara inahitaji full participation of da owner... ACHANA NA UALIMU , OR CHOOSE ANOTHER CARRIER..me mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayar kila sehem tumepitishiwa barua yan ded na deo je hatua gan inafuata baada ya hapo
We ni mwalimu wa somo gan ndugu yangu?
Hzo barua zinatakiwa ziende mkoani then PMORALG japo halmashaur ndo wanatakiwa wazipeleke labda kama una haraka uwaombe upeleke wewe boss wangu kumbuka Mkuu wako nae anatakiwa kusain Kakame mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayar kila sehem tumepitishiwa barua yan ded na deo je hatua gan inafuata baada ya hapo