Naombeni ushauri wenu wanaJF

Naombeni ushauri wenu wanaJF

Joined
Jul 23, 2013
Posts
97
Reaction score
5
Mimi ni mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayari kila sehemu tumepitishiwa barua kwa DED na DEO. Je, hatua gan inafuata baada ya hapo?
 
me mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayar kila sehem tumepitishiwa barua yan ded na deo je hatua gan inafuata baada ya hapo

Mwl Materu materuni vuta subira walimu wenzako akina @oilsumu muda si mrefu watakuja kukujuza...alafu jaribu kusahihisha baadhi ya maneno katika maelezo yako kwa sababu wahuni wakija watakushusha viwango kwa msemo wa "walimu wa mulugo na big result"
 
Last edited by a moderator:
Mwl Materu materuni vuta subira walimu wenzako akina @oilsumu muda si mrefu watakuja kukujuza...alafu jaribu kusahihisha baadhi ya maneno katika maelezo yako kwa sababu wahuni wakija watakushusha viwango kwa msemo wa "walimu wa mulugo na big result"

na kweli maana wakija wanaojiita wajuzi wa lugha kwa kujua kuwakosoa wenzao....
 
kukosoana ni njia pia ya kumwelewesha mtu!

Hujakosea mkuu lakini kuna wahuni humu wanakosoa hadi typing errors tena kwa fedheha na dharau as if hawajui kua binadamu anajifunza vitu vipya hadi siku ambayo ataingia mchangani
 
me mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayar kila sehem tumepitishiwa barua yan ded na deo je hatua gan inafuata baada ya hapo
Ushauri wangu uendelee na ualimu kwa muda ukusanye fedha kiasi flan then iwe ni capital kwako uanzishe biashara au aina yeyote ya ujasiriamali , biashara ikichanganya acha ualimu as soon as possible ... unaweza kufanya biashara huku unaendelea na ualimu but its not rational biashara inahitaji full participation of da owner... ACHANA NA UALIMU , OR CHOOSE ANOTHER CARRIER..
 
We ni mwalimu wa somo gan ndugu yangu?
 
me mwalimu nimemtafuta mtu wa kubadilishana naye na tayar kila sehem tumepitishiwa barua yan ded na deo je hatua gan inafuata baada ya hapo
Hzo barua zinatakiwa ziende mkoani then PMORALG japo halmashaur ndo wanatakiwa wazipeleke labda kama una haraka uwaombe upeleke wewe boss wangu kumbuka Mkuu wako nae anatakiwa kusain Kaka
 
Back
Top Bottom