Naombeni ushauri

Bosi, punyeto tunapumzika tu kwa muda hatuiachi...

Wengine tunakaaga mwaka mzima lakini siku moja inatokea tu yaani kapepo kanakupitia from nowhere kinachofuata ni majuto baada ya Usingizi wa ENDORPHINS.
 
Free pentecost church, na muungano wa makanisa ya pentecost TANZANIA,,,,, I'm really gentle man bro.
 
Soon unapata ngoma maana kila mwanamke utakua unahisi mkali, rudi kwenye chama.
 
Kwamba ukiwa muislamu hupati mchecheto, au hamna wapuchuaji
Nafurahia kua Muislamu dini ambayo inaendana na maumbile ya mwanadamu

Tizama sasa hlf huyu anakuja kua ety mtumishi wa Mungu awahubirie watu mema embu fikirieni basi jmni mnapoteaaaa
 
Ukiona ivo ujue upo hatua nzuri, hata dhahabu hupita kwenye moto kabla ya kuwa ya thamani zaidi.
Kipindi kama hiko, jitahidi mawazo yako uweke sehemu nyingine, kiasi kwamba akili inachoka na vitu vingine.
Usiongelee punyeto tena.

Tafuta mwanamke katika mazingira uliyopo. Tatizo unaogopa kukataliwa. Lakini kukataliwa ni "badge of honor".
Jaribu kuongea na watu wengi zaidi, piga stori tu na watu kwenye mazingira yako. Ujue stori zinakaa sana kwenye kichwa kuliko kitu kingine hivyo itakua rahisi kukumbuka stori za watu kuliko punyeto.

Tena, tafuta mwanamke usiogope kukataliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…