Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Hope Wana Jf wote ni wazima,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Hii ni siku ya Kumi na mbili tangu niache punyeto ila nipo kwenye mateso makuu mno naombeni ushauri;
01. Kwanza nahis kuumwa sana, nimeenda hospital nimepima Sina ugojwa
02. Mapaja yanauma vibaya sana
03. Nyege zinanimaliza apa aisee,
Yan juzi jpil kipnd nimuombe shemasu wa kanisa show

04. Nahis mwil unawasha sana.

Naombeni ushauri Wakuu
Bosi, punyeto tunapumzika tu kwa muda hatuiachi...

Wengine tunakaaga mwaka mzima lakini siku moja inatokea tu yaani kapepo kanakupitia from nowhere kinachofuata ni majuto baada ya Usingizi wa ENDORPHINS.
 
Free pentecost church, na muungano wa makanisa ya pentecost TANZANIA,,,,, I'm really gentle man bro.
 
Hope Wana Jf wote ni wazima,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Hii ni siku ya Kumi na mbili tangu niache punyeto ila nipo kwenye mateso makuu mno naombeni ushauri;
01. Kwanza nahis kuumwa sana, nimeenda hospital nimepima Sina ugojwa
02. Mapaja yanauma vibaya sana
03. Nyege zinanimaliza apa aisee,
Yan juzi jpil kipnd nimuombe shemasu wa kanisa show

04. Nahis mwil unawasha sana.

Naombeni ushauri Wakuu
Soon unapata ngoma maana kila mwanamke utakua unahisi mkali, rudi kwenye chama.
 
Kwamba ukiwa muislamu hupati mchecheto, au hamna wapuchuaji
Nafurahia kua Muislamu dini ambayo inaendana na maumbile ya mwanadamu

Tizama sasa hlf huyu anakuja kua ety mtumishi wa Mungu awahubirie watu mema embu fikirieni basi jmni mnapoteaaaa
 
Hope Wana Jf wote ni wazima,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Hii ni siku ya Kumi na mbili tangu niache punyeto ila nipo kwenye mateso makuu mno naombeni ushauri;
01. Kwanza nahis kuumwa sana, nimeenda hospital nimepima Sina ugojwa
02. Mapaja yanauma vibaya sana
03. Nyege zinanimaliza apa aisee,
Yan juzi jpil kipnd nimuombe shemasu wa kanisa show

04. Nahis mwil unawasha sana.

Naombeni ushauri Wakuu
Ukiona ivo ujue upo hatua nzuri, hata dhahabu hupita kwenye moto kabla ya kuwa ya thamani zaidi.
Kipindi kama hiko, jitahidi mawazo yako uweke sehemu nyingine, kiasi kwamba akili inachoka na vitu vingine.
Usiongelee punyeto tena.

Tafuta mwanamke katika mazingira uliyopo. Tatizo unaogopa kukataliwa. Lakini kukataliwa ni "badge of honor".
Jaribu kuongea na watu wengi zaidi, piga stori tu na watu kwenye mazingira yako. Ujue stori zinakaa sana kwenye kichwa kuliko kitu kingine hivyo itakua rahisi kukumbuka stori za watu kuliko punyeto.

Tena, tafuta mwanamke usiogope kukataliwa.
 
Back
Top Bottom