Naombeni ushauri

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
 
Hahahahah khaaa!
Acha aende zake huyo acha apate mwenzake anayeongozwa kwa ndoto.

Huyo maisha yake yanaamuliwa na alichoota usiku.
 
Aache kulia lia wanawake Mbona kibao mkubwa?
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.
Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
[emoji16]muache na wewe acha kumfatilia mind your business
 
Usituone sisi watoto.

Wewe majuzi si ulileta uzi wako upo chuo, kuna mwanamke anakuzingua? Na mwanamke huyo anaota kuvishwa pete na mtu mwingine? Ushauri katika ule uzi haukukutosha?

Sikukuambia sasa hivi wewe unatakiwa uwe unajifunza namna ya kutumia kikojoleo chako? Kuliko kulilia mapenzi? Baadae ukaleta uzi wako wa Shukrani kwa ushauri wetu?

Pumbavu. Umechangangikiwa?
 
Kumbe we mzee baada ya kuachwa umekuwa team "KATAA NDOA"
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
ni zumaridi?
 
Mkuu, mbona siyo rafiki yako, ni wewe!
👇👇
 
Mpe pole sana, mwambie ajinyonge tu maana hamna namna
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…