Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
 
Hahahahah khaaa!
Acha aende zake huyo acha apate mwenzake anayeongozwa kwa ndoto.

Huyo maisha yake yanaamuliwa na alichoota usiku.
 
Aache kulia lia wanawake Mbona kibao mkubwa?
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.
Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
[emoji16]muache na wewe acha kumfatilia mind your business
 
Usituone sisi watoto.

Wewe majuzi si ulileta uzi wako upo chuo, kuna mwanamke anakuzingua? Na mwanamke huyo anaota kuvishwa pete na mtu mwingine? Ushauri katika ule uzi haukukutosha?

Sikukuambia sasa hivi wewe unatakiwa uwe unajifunza namna ya kutumia kikojoleo chako? Kuliko kulilia mapenzi? Baadae ukaleta uzi wako wa Shukrani kwa ushauri wetu?

Pumbavu. Umechangangikiwa?
 
Kumbe we mzee baada ya kuachwa umekuwa team "KATAA NDOA"
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
ni zumaridi?
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
Mkuu, mbona siyo rafiki yako, ni wewe!
👇👇
"Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad"

"Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu."

"Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"
 
Mpe pole sana, mwambie ajinyonge tu maana hamna namna
 
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.

Ni fanye nini mm.

( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee!
 
Back
Top Bottom