Naombeni uzoefu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo

Maeneo gani mkuu
kwa jina sikumbuki ila ilikuwa hospital town ya wilaya mitaa tulipokaa izo lodge kuna shule pembeni ndo kule ile bagamoyo old boma ya mjerumani ipo kuna nyumba za kale hotels za kiasili yaani unakuta hotel ni jumba la zamani ila ukizama ndani kuna majani urembo safi vinjwaji ,picha ,swimming pool ya kijanja iko local ivi, ila ahwaruhusu kupiga picha kuna cctv
 
Hapo ni stone town, uswahili upo lakini sio kiviile kutokana na muingiliano na wageni. Kuna maeo ya uswazi Kama mwembe yanga, magomeni, majicoast n.k huko ni hatari tupu.
 
kwa jina sikumbuki ila ilikuwa hospital town ya wilaya mitaa tulipokaa izo lodge kuna shule pembeni ndo kule ile bagamoyo old boma ya mjerumani ipo kuna nyumba za kale hotels za kiasili yaani unakuta hotel ni jumba la zamani ila ukizama ndani kuna majani urembo safi vinjwaji ,picha ,swimming pool ya kijanja iko local ivi, ila ahwaruhusu kupiga picha kuna cctv
Duuuuuuu
 
Dunda Dunda Park kuna mbususu moja Apo Aisee hakika nilipatkana Emmy hatari Sana.!
Hahaaa..kumbe na wewe mdau wa dunda..nilienjoy sana kipindi cha holiday mwaka jana..kila siku night nipo dunda.

#MaendeleoHayanaChama
 
We sema unataka shamba au kiwanja ila unaogopa kupigwa usizunguke.
 
Kupo poa wakarimu ingawa wameathiriwa Sana na tamaduni za kiarabu/kiislam. Pia hawapendi mtu mzinzi na Kama hujaoa kupata chumba sahau had uje na mwenyeji akudhamini
Chumba ni biashara na sio tamaduni
 
Back
Top Bottom