Bagamoyo ni mji unaokua kwa Kasi Sana, maisha ya kule yako chini kidogo kulingwnisha na dar, mfano sahani ya wali / ugali kwa mama lishe ni 1000/, chips kavu 1000/ kilo ya nyama 6000/ n.k kifupi vyakula vyote viko chini sana...
Chumba kinaanzia 10,000/ na kina umeme, ukipanga chumba Cha 30,000 kwa dar ni 60k - 70k. Pia hiyo bandari bubu hapo ukiwa mjanja itakunufaisha Sana, watu wanapitisha magendo hapo balaa hasa mafuta kutoka zenji.
Ukiwa na mzigo kutoka zenji unaweza kuuvusha bila kusumbuana na bandari, mambo ni mengi Sana happy bagamoyo na fursa nyingi Bado ziko wazi tofauti na dar...