Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako.
Nawasilisha
Nawasilisha