Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako.
Nawasilisha
Lina watt ngapi hilo jiko kwanza?hamna wenye uzoefu na hii kitu?
Niliona dogo lina Watts 2,000 kiufupi sikuwa impressed.Lina watt ngapi hilo jiko kwanza?
yep yepkwa hiyo kwa wastaun kama unatumiau kuaunzia chai, chakula cha mchana,na jion linalamba wastan wa unit 4 kwa siku
Natumia hili jiko kwa miakakaribia 8 sasa nlianza kutumia plate moja na sasa natumia plate 2 umeme nalipa 9000 linasaidiana na gass ambayo natumia ya kg15 kila mweziSalamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako.
Nawasilisha
Ni very econ hujawahi pata kuona wewe linunue tu wala usiliogopeNatumia hili jiko kwa miakakaribia 8 sasa nlianza kutumia plate moja na sasa natumia plate 2 umeme nalipa 9000 linasaidiana na gass ambayo natumia ya kg15 kila mwezi