Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Hio tunu moja adimu sana hapa duniani una upekee fulani wa kisolori au wasolori
 
Huo unaitwa usolori kuona yajayo na ya sasa na vilivyopita
 
Mkuu naomba soma Biblia unitabirie mambo yangu maana siyalewi tu mpaka sasa.
 
Bangi hizo ndo zinakusumbua, huna hata moja unalolitenda kati ya hayo
 
Chai.

Kama sio chai nitabirie mimi likitokea ndo nitaamini hivihivi nakuona mvuta mjani tu kama mimi..[emoji23]
Hahahaa,, mkuu kumbe umeona na ww kijiti ndo kinamsumbua
 
Jinsi unavojibu ndo unazidisha watu kutokuamini huu uzi wako dogo.

Yote yanawezekana mkuu, huenda una nguvu kiroho safi au ni mchawi wa kuzaliwa nao. Jipime unafit wapi ujue ukweli ama lah muulize maza.
 
you are prophetic bro ,good advice tafuta Prophetic Mentor awe ni Prophet au Apostle na awe expert zaidi yako akuguide utakuwa mtu mkuu sana na wa faida kwa Mungu na watu wake
 
Mkuu wewe una maono, basi naomba umchungulie huyu mchumba wangu sasa hivi yupo na nani ? ukute yupo juu ya kinena cha mtu mimi niko huku najinyambafayi nini mchumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…