Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Mtabiri hebu nishushie utabiri wako Chap kuhusu TANMO..

Kuhusu mambo ya michepuko niachie mwenyewe lakini...
 
Tuko pamoja,barikiwa!
Kuna karama ya uponyaji pia!
Mungu akusaidie!
Utumishi una changamoto sn!,hasa eneo la ofisi ya kinabii!
Yesu ni mwema!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anisaidie na kunitia nguvu katika hili,anaponitia nguvu nasimama na kuweza kwa jina lake ,maana ni mkuu wa mambo yote.

Na wakati hata kazini huwa nawaambia hata ndugu wa wagonjwa kuwa ndugu yenu mimba yake ni mtoto wa kiume au wakike naona kama kitu kinanisukuma na kumwambia amebeba mtoto wa aina hii,ila nawasihi sana asimwambie,

Ila wapo wajawazito wanasema huyu mtoto ananisumbua tumboni sijui atakuwa wa aina gani,na muuliza nikutabirie,anasema ndio na Mimi namuuliza unampenda wa aina gani ,namjibu Mungu akupe wa moyo wako

Mwingine anasema nimezaa wa kike sana,nwambie basi huyo ni wa kike au wa kiume na huwa nawafuatilie pale wodini na kuona haya maajabu
 
Watu wa ajabu sana kilamtu anasema na "mimi na mim" hivi wazima kweli nyie. Yaani mnaamini kuna mtu anayajuwa maisha yenu sana zaid yenu wenyewe??

Isitoshe nazan uzi wake hamjauelewa vizuri, kasema wajuzi wamsaidie kujuw kilichondan yake, sasa nashangaa kuona tena wajuzi wanaomba kujuzwa ??

Hii nchi looh !!!

Watu wanampima tuu akili yake mkuu, huoni ameshaanza kujibu majibu yanayofanana ?
 
Kuna mwanamke nampenda sana Jina lake linaanzia na J ivi ukiangalia kuna uwezekano wa me na yy kuoana nae kweli?naomba nisaidie please nitakushukuru sana ukiniambia ukweli ili nichukue hatua mapema
 
[emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya mtoa mada naomba nikutabirie

Ila itikia tawile
Inaonekana una stress za maisha,,,,,,,,itikia tawileee

Inaonekana unapenda mambo makubwa uwezo wa ya kuyafikia hunaaa,,,,,,,,,,

Pia wiki iliyopita umetoka kuchukua mkopo ukitegemea kufanya biashara mambo yamebuma,,,,,,,,,,,

Hiyo simu unayoitumia umenunua mwez uliopita na haizid laki,,,,,,,,

Inaonekana huo ugonjwa ukiuacha kwa muda utakuwa kichaaa ,,,,,,,,

Pia namuona mwanamke jina lake limeanzia na z ni nani yako huyoo
 
🤣🤣🤣🤣
Uzi ufungwe ni ubatili mtupuuuuu
Bado siku haijaisha tusikilizie labda Mambo yatajipa huwezi jua huenda hata nikagongwa na ungo wa mchawi..😅
 
Bado siku haijaisha tusikilizie labda Mambo yatajipa huwezi jua huenda hata nikagongwa na ungo wa mchawi..😅
Hahahaaa na kwel saivi bado mapema sana ikifika saa 5 na dk 59 ndio itajulikana
 
Hahahaaa na kwel saivi bado mapema sana ikifika saa 5 na dk 59 ndio itajulikana
Halafu mshikaji hajui hata kiswahili anaweka ha hata pasipo hitajika!
Mi nachati sahivi kumfata yeye nisijepata hajali bure!.😂
 
Back
Top Bottom