Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
Mkuu na mm nipo katika hali gani?
 
Aisee..fungua kanisa utupuluse sadaka zetu
Kanisa la kristo hutalazimishi watu kutoa sadaka,kile ulichobarikiwa toa kidogo tu na Mungu atakunariki,kama una uwezo tazama watoto yatima walio kwenye vituo vyao ,nafsi zao zitafirahi hata kwa kile kidogo utakacho wape,na nguvu yake ni kubwa sana ,maana watakachoshukuru kutoka kwako itakufanya mambo yako yanyooke
 
Sijawahi kukosea kile ninachoona juu ya mtu,au unataka niendelee kukuambia na mengine pamoja na huo ugonjwa

Acha kumtisha mwenzako.
Hiyo ni situation inayokuja automatically sio Kwa hisia na Kupenda kwako..

Kuna mwenzako alinitishia Kama wewe ulivyomtishia mshikaji, nikamwambia isipotokea nakulasha vibao. Akasema fresh.

Kesho yake amefunga chumba chake wiki nzima.
 
Pole
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
Tangaza biashara yako bila kuniambia unatanga biashara yako
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
Nambie na mimi saivi nasumbuliwa na nini
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,

Mamangu ni mwana maombi sana na maombi yake juu yetu ni kama umetufunika na ulinzi Fulani maana alikuwa ananitamkia hata kipindi naenda kusoma mbali alikuwa akisema maneno Fulani kufika kule naona kama vile au nitapokelewa Fulani hivi shuleni na kupendwa sana na hata kipindi nakosa chakula pale shuleni kutokana na shule zetu za bweni mnafahamu kama huna nguvu utateseka sana,ila ilichukua miezi kadhaa,na nilikuwa natoroka na kwenda vijini vya karibu na nitapewa chakula huko na kurudi nikiwa safi,

Mamangu alikuwa na utaratibu wa kuleta wana maombi nyumbani kwetu na tulikuwa wale walokole kweli kweli.Hapo ndo niliposikia sauti kwenye ndoto kuwa Justin mbona hutaki kuokoka na wewe piga Makoti uokoke,nikawa mgumu kidogo nikaona kama nguvu Ile ni kubwa nikalipuka pale Moja kwa Moja na kusema Nahitaji kuokoka na kupiga Makoti na kuongozwa maneno siku hiyo hiyo,

Baada ya hapo niliishi kwenye huo ulokole ila nilikuja kutereza kutokana na hizi shule zetu za mbali ,ila Kila nikipita karibu na kanisa,huwa nilikuwa naumia sana kwa nini Mimi sijaenda kanisani,hiyo hali na hiyo nguvu iliendelea kunitesa moyo hivyo,

Na kipindi nikianza kusoma biblia huwa najihisi nguvu Fulani hivi ya kuona vitu kwa watu wengine,

Na hii ndo inanitesa zaidi naweza kupanda daladala nikiwa kwenye mizunguko yangu au wakati wa kwenda kazini nikahisi mbele Kuna ajali na nikifika mbele naona ajali,imekuwa ikiniongoza hivyo ,au nitapanda gari konda asinidai au labda nikikumbuka Huwa Nampa au nisilipe,au naweza kula mgahawani na nikalipa ela na kurudishiwa chenji zaidi Kuna mda narudisha na Kuna mda nakuwa Sina ela nakaa kimya,

Pia naweza kumuona mtu nikamwambia ukweli juu ya jambo analopitia,na nimekuwa nikimwambia mwanamke ambaye nipo naye kwa harakati ya kutaka kumuoa na amekuwa akiniamini sana kutokana na Mimi kumwambia mambo ya familia yake na mpaka nimekuwa nikimwambia ukweli na hata kumwambia hujawahi kuingiliwa na mwanaume hapo ndo alibaki kuwa hoi nikaja kumwambia kuhusu mamake na wadogo zake na kaka yake,

Na hii jambo imekuwa nikijihisi kuwa Kuna nguvu Fulani nyumba yangu ,na hii ya kuona ajali imekuwa ikinisumbua sana maana nimekuwa najitahidi kuikemea sana lakini naona Bado,na kwa sasa naona hii nguvu inanituma sana kuwaombea wagonjwa maana nafanya kazi kwenye hospitali na hii nguvu inazidi kuwa kubwa.

Kuna rafiki yangu alinidhulumu ela zangu na kushirikiana na mchumba ambaye nilitaka kumuoa nilisema maneno machache tu juu Yao,walipata ajali mwendelezo na kupita wakati mgumu sana,na Bado wanaoitishwa kwenye moto huo huo ,

Naombeni kama Kuna watu wa mambo ya kiroho kuhusu mambo haya najiona wa tofauti sana
Hasa ndo uumize akili mkuu! Usijali kabisa!sorry sijasoma mpk mwisho,lkn!
Kwanza km mama yako yuko hai mshirikishe akusaidie kukuombea hili jambo mpk ukae sawa!

Ktk zile huduma 5 ,unayo ya kinabii! Na Mungu akusaidie sana hapa adui amejikita sana kugeuza mambo kuharibu,kufunga macho ya rohoni!
Lkn naona pia karama ya uponyaji!
Mungu akusaidie sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom