NAOMI Campbell has revealed she has become mother at the age of 50

NAOMI Campbell has revealed she has become mother at the age of 50

She did not disclose the method in which she welcomed her daughter, but four years ago credited science with giving her an opportunity to start a family 'whenever she wants', suggesting she was leaning towards using a surrogate.

Yes, hilo ndo nimewazia..
 
Now with the way science is I think I can do it when I want
Egg freezing, also known as mature oocyte cryopreservation, is a method used to save women's ability to get pregnant in the future. Eggs harvested from your ovaries are frozen unfertilized and stored for later use.
 
Duuh! Huyu maza nimemskia kitambo sana, enzi hizo yakitajwa mambo ya mavazi lazima atajwe
Alikuwa hot kwenye mambo ya modelling enzi za kina Michael Jackson.

Tatizo la hawa models huwa wanaona maisha yote ni Cat walk.

Wengi wanaunga unga sana hata kuzaa huwa wanaona kama ni adhabu.
 
Alikuwa hot kwenye mambo ya modelling enzi za kina Michael Jackson.

Tatizo la hawa models huwa wanaona maisha yote ni Cat walk.

Wengi wanaunga unga sana hata kuzaa huwa wanaona kama ni adhabu.
Hawaoni adhabu ila agency inaweza weka kipengele kwenye mkataba kwamba hautakiwi kuzaa kwa kipindi chote utakaofanya nao kazi.

Kwahiyo maisha ya kingono kwa model wa kike yanakua yamezungukwa na kondomu, calendar na abortion.
 
Na wengi wao huwa wanaishia kupata complications sana kwenye masuala ya uzazi.

Juzi nimeona Flaviana Matata naye analalamika hedhi yake huwa inamsumbua sana.

Hizi Fame huwa ni kama zina laana fulani.
 
Miaka hii raha ya mtoto uwe na kipato. Ila haya maisha yasioeleweka kuleta kiumbe duniani ni kukitesa
 
Kanizidi mmoja,yeye ni wa 1987 ...nakumbuka alijitangaza ivo kipindi cha umiss.Ila sikuhiz anajipunguza umri daily
[emoji16] kwa hiyo umri wake kama unaongezeka mwaka mmoja ndani ya miaka miwili ??!..28 again..29.. halafu 29 ..[emoji23][emoji23] mimi nina 32 na huyo nadhani kiumri ni dadangu.
 
[emoji16] kwa hiyo umri wake kama unaongezeka mwaka mmoja ndani ya miaka miwili ??!..28 again..29.. halafu 29 ..[emoji23][emoji23] mimi nina 32 na huyo nadhani kiumri ni dadangu.
Yeah,kakuzidi miwili
 
Back
Top Bottom